DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
Nitetee ndugu yangu
Kosa ni kufundisha kwa kujituma na mwaka huu Kuna wastani wa 197+B na 100%
 
Mleta mada nasubiri mawasiliano ya huyo Mwalimu ama hata ya Afisa Elimu Wilaya.

Hapo kijijini huwezi kukosa mawasiliano ya Mwalimu. Natamani nisingekuwa busy kipindi hiki, kesho asubuhi ningekuwa hapo kijijini nije niongee na huyo Mwalimu very friendly lakini asipoonesha kubadilika basi atajuta kwasababu sheria itamfunza namna ya kujali haki za watoto.
0764884896 ni mimi Frank niko tayari kukusikiliza
Karibu sana Mandimu na karibu kwa mahojiano nitajibu tuhuma zangu zinazo nikabili
 
Wewe kama premacy wa wanakijiji ulipaswa kuchukua hatua ya kumuona frenk umuulize kuhusu hizo tuhuma kisha upate uhakika.
Kuja hapa jukwaani kulalamika pasipo kumuona mhusika ni uoga na uongo.
Acha frank afundishe watoto wenu.
Afadhari kaka na kafika kuongea na Akina mama si vijana na walimwambia aje shule hakutaka kuja shuleni akidai njia inamchanga
Kapangwa kunivurugia kazi na mwalimu mmoja mzembe sana kazini ndo kwanza hawezi nirudisha nyuma rejea matokeo ya mandimu s.m kwa mwaka huu utaona Kuna kitu si sahihi
 
Kama unaweza kupata access ya nmaba yake ya simu nicheki PM.

Tusiwe watu wa kushughulikia maafa baada ya kutokea bali tuwe watu wa kuzuia maafa.

Huyo anaelekea kuua muda sio mrefu halafu ndiyo nchi nzima ianze kupiga kelele wakati tayari mtoto kapoteza maisha hata huyo mwalimu akinyongwa haitarudisha uhai wa mtoto asiye na hatia.
Kafika kijijini kahoji kingine kaandika kingine Kuna kitu hakipo Sawa Kuna mtu yuko nyuma ya hili jambo
Kahoji Akina mama tena baada ya kuwanunulia miwa kariport vijana
Kahoji jamii na kuhukumu bila kumhoji mwalimu ili hali
Kuhusu utetezi wa haki za watoto huwa najitolea kufanya kazi hiyo bure kabisa ikiwemo kuwapeleka walimu/wazazi mahakamani maana taaluma yangu inanitaka niwe mstari wa mbele kutetea haki za binadamu wakiwemo watoto.

Nipatie mawasiliano ya huyo Mwalimu Mkuu nitamuonya kwa maneno kama kweli anafanya vitendo hivyo aache mara moja.

Akishupaza shingo basi mwaka huu hautapinduka atakuwa mahakamani anapambana na kesi na cheo chake kitakuwa rehani wakati huo alipambana na kesi.

Jamii kwa pamoja tupinge ukatili dhidi ya mtoto maana mtoto hana nguvu za kujitetea bali watu wazima ndiyo wana dhamana ya kumtetea mtoto.

Kwakweli baadhi ya walimu ni vichaa sema tu bado hawajawa certified Mirembe hospital.
So kila linalo tolewa na watu wa mtandao ni sahihi alitakiwa afike shuleni baada ya mahojiano na aliowanunulia miwa
Pili alichohoji si kile alichoandika inanipa mashaka na taaluma yake au Kuna mtu kampanga ili kuivuruga shule ambayo imeanza kuwa tishio kitaaluma japo haina umeme wala maji
Ushauri usihukumu kwa jambo usilolijua ama ukasikiliza kesi ya upande mmoja
Kama anaweza aje ofisini kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 12:30 jioni ajionee kazi inabyopigwa shuleni alafu atapata Malibu
 
Na wewe umeamini ulichoammbiwa kwa stori za kijiweni na kutoa hitimisho mazima,
Unaweza kufuatilia hilo jambo kwa viongozi wa bodi ya shule na uongozi wa kijiji wakupe ukweli wa jambo husika au umfuate yeye mwenyewe,
Ni ajabu sana kijiji kumhofia mtu mmoja mpaka wake zao ndiyo wanafuatilia usalama wa watoto wao huku wanaume hawachukui hatua yoyote wanapiga stori za vijiweni
Kapangwa huyu maana tarehe 13.11.2024 niliitisha kikao cha dharula cha kamati ya shule walichokisema aliowahoji si kile alichokiandika na katika muhtasari wangu wamesaini tena kwa dole gumba mbele ya kamati
Acha aendelee kuniimarisha
 
Kwenye kifo mbali sana mkuu. Ile hali ya mtoto kuacha masomo kwa sababu ya kipigo hii kifo tyr
Haiwezekani watoto waache shule kwa sababu ya kilaza mmoja asijua taaluma. NO Iwekwe hapa apigiwe simu
asbh mchana usiku,usiku wa manane na alfajiri.
0764884896 FRANK KALANI BONIPHACE
NAINGOJA SIMU YAKO MUDA WOWOTE
NIKO TAYARI KUJIBU RUMORS HIYO
 
Sahihi kabisa. Kufikia muda huu namba haijawekwa kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ili tuanze kuchukua hatua za awali za kukomesha tabia hii mbaya ya baadhi ya walimu wasio na maadili ya kazi yao.

Tukikaa kimya kusubiri matukio ya vifo na ulemavu kwa watoto kutokana na vipigo vya kipumbavu kutoka kwa walimu vilaz,a haitasaidia kitu.

Prevention is better than cure. Huu usemi umebeba ujumbe muhimu sana.
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Story nzima imebase kwenye concept ya nilisikia , ulitakiwa ukamhoji kabla ya kuandika hapa ili usikie upande wa pili
 
Mwalimu Frank anatakiwa kuzidhibiti stress zake za maisha, na pia anatakiwa kuachana na hizo sifa zake za kijinga.
Sioni kama ana sababu ya msingi ya kutaka kuharibu kazi, kwa mambo ya kipuuzi kama hayo.
Alieandikwa Kapangwa na mwl mzembe kazini
 
Safi sana mwalimu. Ila kupitia hizi shutuma, huna budi sasa kuchukua tahadhari mapema ili kuepukana na majungu.

Kiufupi Walimu wa shule za kata mnapitia majaribu mengi sana. Maana mnatakiwa kufaulisha watoto walioshindikana na wenye uwezo mdogo! Na wakati huo huo mkitumia njia mbalimbali za kuwanyoosha, mnaingia tena kwenye 18 za hawa wazushi wanaojifanya ni watetezi wa haki za binadamu.
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Una asili ya umbea, umeenda kutafuta mashamba ukapata mafamba ya vijiweni tayari uzi hata kabla ya kuhoji vizuri.
 
Hi

Ungepata email au namba ya simu ya afisa elimu msingi au mkurugenzi wa Ikungi ingesaidia kuliko humu ndani ambapo wazazi pekee wanaweza kukuelewa
 
Back
Top Bottom