DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu kwenye utetezi wa haki za watoto huwa sina mzaha kuna walimu kadhaa wa sekondari na msingi wametema bungo baada ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Nilipomaliza masomo ya sheria nilianza rasmi kazi hii na huwa natumia gharama zangu za nauli kusafiri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine kwa ajili ya kazi hii.

Ndiyo maana nimemwambia mleta mada kama bado yupo hapo kijijini afanye mpango wa mawasiliano ya huyo mwalimu hamnazo nianze kushughulika naye kisheria.
Kuna waalimu tena private school hapa dar wanachapa Sana wanafunzi na kutoa adhabu Kali had mtoto anaumwa week nzima. Mkuu wa shule amejaa kiburi
 
Wazazi wamewaachia malezi yote walimu. Shida inaanzia hapo.
Wazazi wawalee watoto wao vema waache visingizio.
Mtoto akiwa vizuri kwenye malezi ya nyumbani kamwe hawezi kuadhibiwa ovyo shuleni.
Sasa hivi wazazi wanawapelekea walimu mitoto mijambazi!
Mitoto iliyoshindikana. Mitoto mila bangi. Mitoto.....
Poleni sana walimu kazi yenu ni ngumu sanaaa lakini mwenyezi Mungu atawalipieni. Msikate tamaa. Hakuna aliyemo humu JF hakupita kwa mwalimu. MMEGEUKWA!
You sound like a Drama “Queen!

Kwamba Walimu ni Malaikah ?

Human race in general, inapitia nyakati ngumu sana kutokana na mabadiliko + maendeleo makubwa ya technology, hali hii inaifanya kazi ya ku contain & moderate human basic morals kuwa ngumu mara elfu!
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Kambi ndogo ya JKT
 
Na wewe umeamini ulichoammbiwa kwa stori za kijiweni na kutoa hitimisho mazima,
Unaweza kufuatilia hilo jambo kwa viongozi wa bodi ya shule na uongozi wa kijiji wakupe ukweli wa jambo husika au umfuate yeye mwenyewe,
Ni ajabu sana kijiji kumhofia mtu mmoja mpaka wake zao ndiyo wanafuatilia usalama wa watoto wao huku wanaume hawachukui hatua yoyote wanapiga stori za vijiweni
 
Ifikie mahali serikali kupitia wizara husika itoe maelekezo kwa maafisa elimu wote nchi nzima kufuatilia kwa ukaribu mwenendo wa walimu kuhusu ukatili dhidi ya watoto serikali isisubiri matukio ya ukatili ndipo iwe inatoa matamko.

Hivi maafisa elimu pamoja na maafisa ustawi wa jamii wana kazi gani kama matukio haya yanaendelea kila uchwao?

Mheshimiwa waziri wananchi wana imani mno na wewe juu ya utendaji wako wa kazi toa waraka kwa wakuu wa shule/walimu wakuu nchi nzima kwa kushirikiana na wizara za kisekta kuwakumbusha walimu hao kuzingatia maadili ya kazi na kujiepusha na ukatili ama adhabu zisizoruhusiwa kwa watoto wetu.

CC: Dkt. Gwajima D .
 
Kuna waalimu tena private school hapa dar wanachapa Sana wanafunzi na kutoa adhabu Kali had mtoto anaumwa week nzima. Mkuu wa shule amejaa kiburi
Yaani mkuu we acha tu. Hizi kesi ni nyingi unaenda kutatua hili linaisha, unasikia sehemu nyingine tena kuna ukatili kama huo unaenda unamalizana nalo yaani inafikia mahali hadi kazi zangu rasmi zinasimama kwa kufuatilia mambo kama haya yanayohusiana na ukatili dhidi ya watoto.

Serikali nayo ingekuwa inatoa miongozo ya mara kwa mara mashuleni yakiambatana na matamko ya kukemea walimu wanaofanya ukatili dhidi ya watoto kama jamii tungekomesha ukatili huu.

Serikali ina platform kubwa ya kuufikia umma kwa wakati mmoja inapotoa matamko sasa sijui kwanini viongozi hawawajibiki ipasavyo kutekeleza majukumu yao na kuacha kukaa maofisini pekee.

Likitokea tukio baya la ukatili dhidi ya mtoto utaona viongozi wa serikali wanavyotoka na kutoa matamko. Sasa kutoa matamko baada ya ukatili uliopelekea kifo ama madhara ya kudumu inasaidia nini?

Wananchi kila mmoja ana haki na wajibu wa kumlinda mwingine tuwajibike kushiriki vikao vya shule na kutoa maoni yetu namna nzuri ya kuwawekea watoto mazingira ya kusoma bila hofu.

Mwananchi una haki ya kumuona hata mwenyekiti wa bodi ya shule ambaye ni miongoni mwa sisi wazazi, ama hata mjumbe wa bodi ya shule ukamfikishia malalamiko yako atayawasilisha kwenye bodi ya shule kujadiliwa na kutolewa maamuzi.

Ukishindwa hili basi muone mtendaji wa kijiji/ mtaa ama diwani wa eneo hilo mfikishie malalamiko yako yatafanyiwa kazi.
 
Mkuu kwenye utetezi wa haki za watoto huwa sina mzaha kuna walimu kadhaa wa sekondari na msingi wametema bungo baada ya kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.

Nilipomaliza masomo ya sheria nilianza rasmi kazi hii na huwa natumia gharama zangu za nauli kusafiri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine kwa ajili ya kazi hii.

Ndiyo maana nimemwambia mleta mada kama bado yupo hapo kijijini afanye mpango wa mawasiliano ya huyo mwalimu hamnazo nianze kushughulika naye kisheria.
Mungu akutangulie mkuu
 
Huyo mwalimu kama akampiga mwanangu kwa staili hiyo,ndo mjue vita ya nne ya dunia imeanza rasmi
Ifike mahali jamii ielimishwe kuhusu umuhimu wakuripoti matukio katika sehemu sahihi. Shule za Msingi zina kamati ambazo nikiungo kati ya shule na wazazi. Tukio kama hili wangelipeleka kwa mwenyekiti wa kamati naamini wangeweza kuongea na huyo mkuu.

Kama ngazi ya kamati imeshindikana Kuna Afisa elimu kata ambaye kwa ngazi hiyo ndo boss wa mkuu wa shule. Ngazi hizo ni muhimu na zinaweza kuleta mabadiliko kuliko kusubiri wageni waliokwenda kutafuta mashamba ndo wawasaidie kupaza sauti zao.

Tujiulize, hivi huyo mkuu asingemkoromea huyo Mzee, mwandishi angepataje ushenzi wa huyo mwalimu? Means mateso yangeendelea na wadau wasingefahamu kama hivi
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Rubbish...huu ni umbea na ww ni mchonganishi..
Umetumia gia kuwa unatafuta mashamba lakini ww utakuwa ni mwl wa hapo hapo shuleni
 
You sound like a Drama “Queen!

Kwamba Walimu ni Malaikah ?

Human race in general, inapitia nyakati ngumu sana kutokana na mabadiliko + maendeleo makubwa ya technology, hali hii inaifanya kazi ya ku contain & moderate human basic morals kuwa ngumu mara elfu!
Teachers can't be Angels !
My issue ni kwamba nafasi ya mzazi kwa mtoto imetelekezwa. Walimu ndiyo wametelekezewa.
Ipo siku nafasi ya mwalimu kwa mtoto wataachiwa wazazi na kwa mbaaliiii naiona yaja.
Hapo ndipo Jamii itajuta.
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Nashauri mishahara ipandishwe.
 
Ifike mahali jamii ielimishwe kuhusu umuhimu wakuripoti matukio katika sehemu sahihi. Shule za Msingi zina kamati ambazo nikiungo kati ya shule na wazazi. Tukio kama hili wangelipeleka kwa mwenyekiti wa kamati naamini wangeweza kuongea na huyo mkuu. Kama ngazi ya kamati imeshindikana Kuna Afisa elimu kata ambaye kwa ngazi hiyo ndo boss wa mkuu wa shule. Ngazi hizo nimuhimu n zinaweza kuleta mabadiliko kuliko kusubiri wageni walioenda kutafuta mashamba ndo wawasaidie kupaza sauti zao. Tujiulize, hivi huyo mkuu asingemkoromea huyo Mzee, mwandishi angepataje ushenzi wa huyo mwalimu? Means mateso yangeendelea na wadau wasingefahamu kama hivi
Akizingua mnagawana majengo ya kiserikali
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Inawezekana mwalimu Frank anafanya yasiyofaa. Lakini pia inawezekana kuna watoto watafaidika kwa kubadilishwa tabia kutoka mbaya kuwa nzuri. Ni vizuri uchunguzi ukafanyika na ukweli ufahamike na maamuzi sahihi yafanyike. Kama anafanya yasiyofaa, achukuliwe hatua, na kama anasingiziwa na anawanyoosha wanafunzi kwenye uelekeo sahihi, apongezwe.
 
Yaani hicho kijiji hakuna hata mwanaume mmoja wa kumshughulikia ipasavyo .
Kila siku humu tunaambiwa wanaume wa vijijini ni mashababi ukilinganisha na Dar kumbe Huwa tunalishwa matongo pori.

Baadhi ya Walimu hasa wa kiume wakiwa huko vijijini Huwa wanajiona kama watawala kwenye hilo eneo ovyo kabisa hao watu.

Niliendaga Namanyere Rukwa kumsalimia kaka yangu ambaye ni mwalimu, siku tukaamua kutembea tembea kujionea mji Kila tunakopita mwalimu anajulikana vibaya mno na wanakijiji basi tukapita mtaa mmoja tunasikia kelele watoto kama miaka 12-16 wamefungiwa ndani wanachapwa kufika tu mwalimu hata hajauliza akaomba fimbo na yeye akaingia ndani kuanzia kuwatandika wale madogo wakati zinaondoka nikamwambia sasa wewe jamaa unawachapa watoto wa watu kiasi hiko ikitokea mtu akakata moto ghafra hujui kama ni kesi ?
 
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Baada ya kukamilisha mambo yangu nikakaa kijiweni na Vijana wa eneo hilo kujua mbili tatu za eneo hilo.
Katika storI za hapa na pale akapita kijana mmoja ambaye alionekana kumfokea mzee mmoja, nikauliza kulikoni mbona 'dogo' anakosa adabu.

Nikaambiwa bwana huyo ni Mwalimu flani (akamtaja kwa jina la kwanza - Frank) huyo bwana hachezewi hakuna anayemgusa. Ilibid nidadisi zaidi kwani ana ishu gani. Ndipo wakanipa kisanga kizima.

Soma Pia: Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangaliwe, ananyanyasa Wanafunzi
Wakasema tangu Mwalimu Frank afike kijijini hapo kabla ya kuwa Mwalimu Mkuu amekuwa akitandika watoto wetu kinyama sana.

Watoto wanashika nondo juu kwenye dirisha ndio wanachapwa, kutandikwa huko sio kwenye makalio tu. Fimbo zinachapwa mgongoni miguuni hadi kichwani, sio fimbo tu anatumia hadi mateke na ngumi. Vipigo hivi ni wasichana na wavulana.

Nikaelezwa kuwa Watoto wengi wameacha shule kwa kuhofia kipigo cha kinyama cha mwalimu huyo pindi wanapokosea. Baadhi ya Wazazi hawana budi kukubali watoto kubaki nyumbani kwani wanahofia pia wanaweza kuumizwa vibaya kwasababu ilishawahi kutokea mtoto mmoja ambaye angemaliza la saba mwaka huu (2024) alichapwa na Mwalimu huyo baadaye akaanza kulalamika maumivu ya tumbo na wiki moja baadaye alipoteza maisha, so haikujulikana wazi kama chanzo ni mwalimu au alikuwa na changamoto zake nyingine.

Wakazidi kunieleza kuwa kuna Wazazi wawili walikwenda kumhoji kwa nini anawatesa watoto wao nasikia yalitokea mabishano na mama huyo wakashikana na mwalimu kupigana. Mama mwingine yeye aliwashwa kibao hakuthubutu tena kuuliza chochote.

Naiomba Serikali imchukulie hatua mwalimu huyu kwani anawakatili watoto sio kwa kipigo cha kinyama bali pia kukosa haki yao.ya msingi ya kupata.elimu. Pili anawanyanyasa wanakijiji hiko yy amekuwa mungumtu.

Tanzania yetu ni nchi ya Amani mtu mmoja anawezaj3 kunyanyasa watoto na wazazi wao kwnye ardhi yao?

NAOMBA SERIKALI IMSHUGHULIKIE MTU HUYU HARAKA.
Umenikumbusha mwalimu wangu wa bookkeeping na commerce O level anaitwa Mugisha aliwahi kunijeruhi mkono Kwa fimbo alikuwa na temper sana
 
Back
Top Bottom