DOKEZO Serikali imchunguze Mwalimu huyu wa Shule ya Mandimu (Singida), matendo yake ni tishio kwa Wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Ngoja mleta mada a confirm majina ya huyo anayejiita mwalimu mkuu asiyejitambua kama kweli haya ndiyo majina yake halisi tutashughulika naye ipasavyo na majibu yataletwa humu humu jukwaani.

Mleta mada tafadhali confirm majina halisi ya mwalimu mkuu wa shule husika kama ndiyo haya yaliyowekwa hapa ili tuanze kwa wakuu wake wamchukulie hatua stahiki maana hajui code of conduct and ethics za profession yake sijui ni mhuni wa wapi amepewa nafasi kama hii.
 
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Mkuu hebu weka picha yako hapa ili mleta mada aweze kukutambua kwa wepesi maana kama ni majina tayari ume disclose hivyo hata ukiambatanisha na picha haitaathiri chochote.
 
0764 884 896 MIMI MWL MKUU MANDIMU
FRANK KALANI BONIPHACE
Au unaweza kumtumia picha yako mleta mada PM ili a confirm kama ni mhusika anayetuhumiwa then ataleta mrejesho humu wahusika waanze kukushughulikia kukufunza maadili ya kazi yako huenda huko vyuo vya ualimu hukuelewa chochote.

Akithibitisha ni wewe basi nikuhakikishie tu hatua zitachukuliwa na ujiandae kisaikolojia.

Tusije tukawa tunahangaika na mhuni mmoja anayejivika uhusika wa mwingine tukapoteza rasilimali muda na fedha.
 
Mambo ya kijinga... hicho kijiji hakina wanaume?
Lwamba mtu mmoja ndo anawaendesha hivyo??
Hovyo kabisa
 
Aisee umetaja Ikungi....enzi zetu tulikuwa tunapaki lori hapo tunapata wali kuku....ukisikia WALI KUKU means Ikungi..
 
KAMA NI KWELI...unaweza kukuta ni ugomvi wa videmu au hayo maeneo anayofatilia....Duniani kuna FITNA...watu wanajua kutengeneza mambo.....
 
Wewe kama utakuwa ni kiongozi, basi utakuwa una mapungufu makubwa sana. Maana una mihemko mpaka basi!! Mimi nadhani hutakiwi kufika kwenye hitimisho kwa taarifa ya kusikia; yaani hear say, rumour, or gossips!!
Kwanza mtoa mada anaonesha taarifa yote amesimuliwa! Na hakuna mahali alionesha kuguswa na kwenda mpaka kwenye hiyo shule na kufanya uchunguzi wa kina! Halafu na wewe pia umeangukia kwenye mtego ule ule!!

Kwa nini usijiongeze kwenda kwenye hiyo shule kufanya uchunguzi, kwa kuwahoji wahusika wote ili upate majibu sahihi! Yaani kuanzia huyu mwalimu mkuu, walimu wote wa shule husika, baadhi ya wanafunzi wa hiyo shule, baadhi ya wazazi wa hiyo shule, nk!!
 
Anategwa mtu hapo wewe hujaelewa?
 
Ukitaka kumtawala binadamu mnyime elimu anataka awe mtawala siku zote huo ni ubinafsi
 
Kama hatafuni wanafunzi acheni tu awachape viboko vya kutosha akili ziwakae vema wanafunzi hao. Wazazi Viherehere nao wazabatuliwe makofi tu mpaka washike adabu kuzoea walimu vibaya. Heko mwalimu kwa vitendo hivyo, hatulei ujinga
 
Mkuu hebu weka picha yako hapa ili mleta mada aweze kukutambua kwa wepesi maana kama ni majina tayari ume disclose hivyo hata ukiambatanisha na picha haitaathiri chochote.

Nahisi harufu ya chuki binafsi
Ndivyo ilivyo nimesha kaa na wazazi nimewasomea nnachotuhumiwa nacho hata wao hawakijui
Nitarejea nikiwa imara baada ya kuchafuliwa kiasi hiki
 
Ni mimi mwenyewe kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…