Serikali imeanza kuhakiki mkataba wa bandari ya Bagamoyo

Marekani haiwezi kukubali China kupata bandari ya bahari ya hindi ili waweke manowari zao Bagamoyo. Itapiga vita mpaka basi.
Huu nao ni upotoshaji mwingine! Kwanini watu mnashindwa kuzungumzia Hoja husika badala yake mnaingiza vitu vingine??

Haya ukiombwa ushahidi kwalo utatoa!?
 
Huyu mama tangu aseme wale kwa urefu wa kamba zao simwamini tena, labda kama alikuwa anamaanisha kitu kingine na sio ninachofikiria
Kiukweli amtu fanya tuhifie sana usalama wa nchi yetu!
 

Hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa hiyo unasema Jk na yule kiongozi wa china waliweka jiwe la msingi kuzindua uwekaji wa mkataba baada ya miaka mia ijayo? Kwa hiyo lile jiwe la msingi ilikuwa ni sherehe ya kumtoa mwali huko bagamoyo? Hahahahahah
 
iyo ndio boys to men jaman tusishangae
 
Acha kucheka kama malaya wa kimboka, this is a serious matter sio unachekacheka tu. Soma post uelimike.

Mnakaa na watu wa maana unakuja unachekacheka kifala.
 
Hii
 
Kwani mkataba lazima uwe signed? Huwezi kuwa na proposed contract?
Umeongea vema, tatizo kuna watu hata akija Yesu akasema hivi, watasema mbona fulani hajasema hivyo...

Kimsingi kilichopo ndo hicho ulichosema... and technically, sio MKATABA bali inaitwa Framework Agreement. And in fact, it's just INITIAL Framework Agreement... hiyo ndiyo aliiacha JK na Serikali yake!

Kwenye projects za aina hii, Investor huwa ana-prose anataka nini na nini, kisha upande wa pili, na kwa muktadha huu ni serikali, ndipo wanakaa na kupitia kipengele kimoja baada ya kingine! Hapa ndipo unapokuja msingi wa INITIAL Agreement kwa sababu serikali ikishapitia hiyo Initial Agreement, nayo inaweza ku-propose mambo yake na kurudisha kwa Investor!

Wakishakubaliana na hizo proposals ndipo mkataba unakuwa structured and finally kuwa signed!

Hilo suala watu tumeliongea sana hapa lakini kwavile walishazoea kuaminishwa uongo, ndo hivyo tena!! Ajabu yenyewe, wakawa wanambishia hadi waziri wa dhamana bila kufahamu waziri ndie ana-deal zaidi na haya mambo kuliko Rais ambae kimsingi yeye upelekewa tu taarifa!

Hapa watu nishawauliza mara kadhaa kama kweli kulikuwa na mkataba uliowahi kusainiwa, sasa ni mkataba wa aina gani huo unaoweza kuvunjwa kirahisi rahisi tu na kusiwe na fight back... hakuna aliyewahi kunijibu hili swali!!
 
Ipo Djibouti,
Ipo kenya,
Umefuatilia lakini yaliyotokea Djibouti?

Chinese People's Liberation Army Support Base in Djibouti - Wikipedia


Unajua lakini historia ya nchi hii na kwa nini Nyerere alikuwa anafuatilia sera za "hatufungamani na upande wowote"? Miaka yote ile ya enzi za vita baridi wakati nchi zinachafuliwa hapa Afrika na hao CIA mfano Angola, Congo, Msumbiji na kwengineko Tanzania ilikuwa shwari. Kwa nini unafikiri? Nyerere alikuwa mjanja. Alikuwa anajua kucheza na mataifa makubwa na kulinda maslahi yao.
 

Inaelekea kunakitu unakijua kwenye huo mkataba, hebu niambie,niliona kama clip moja hivi inamuonyesha kikwete anazindua ujenzi wa hiyo bandari, nikitugani hasa kile.

Inamana uzinduzi ulikuwa unafanyika kabla ya kusaini ama vipi!!.
 
Hawa wakula kila mtu kwa urefu wa kamba yake wanataka kamba refu ya kula hapo. La kutia uchungu hawajali maslahi ya taifa ila kujipatia kamba refu waweze kula. Yaani haijawahi kutokea kiongozi kujali ulaji wa vigogo kama samia. 🤔🤔
 
Huna akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…