Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Inasikitisha sanaSiyo siri, wengi tumeshitushwa na msimao wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Machengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI , masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinatka na vikao vipi vya mabadiliko katika elimu?
Kwa kuona mbali, kutaanza kuwa na ajira za kidini dini kutokana na masomo ya kidini.Maza ni mdini sn
Siyo kweli, mayai ya MKIRU(Mkuranga, Kibiti, Rufiji) yalitagwa wakati wake.Serikali ya Kikwete haikukumbatia kabisa mambo ya Udini
Katika hili JK apewe maua yake
Nyie kwa nini mnatuchanganya eti?Serikali ya Kikwete haikukumbatia kabisa mambo ya Udini
Katika hili JK apewe maua yake
Katika hili, udini utamkosesha mama kura nyingi tu.Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
CCM huwa hawashindi kupitia sanduku la kura, wanashinda kimafia.Katika hili, udini utamkosesha mama kura nyingi tu.
Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida ganSiyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Hapana hii sio sawa Taifa hili halina dini, Kama mtu anataka kusoma hayo masomo aende kwenye shule zinazotoa hayo masomo na ziwe ni shule binafsi.Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida gan
We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
USiyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic.Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Halifai kabisaKwa kuona mbali, kutaanza kuwa na ajira za kidini dini kutokana na masomo ya kudini.
Tunaanza kutaga mayai ya machafuko huko mbele ya safari.
Hili lipingwe kwa nguvu zote.
Hata unachoongea hukijui!We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.
U
Unajua usichanganye vitu na kuvifanya vya kisiasa ili muanze kuongea na kujadili uongo. Kwa kawaida, combination ni masomo matatu Ila masomo ya kukupeleka chuo Kikuyu ni mawali tu. Kwa hiyo mfano mtu anasoma Economic, Business studies na Islamic. Economic na, Business studies ndio zitampeleka chuo kikuu kwan university wanaesabu point nne za masomo mawili. Islamic knowledge itamsaidia kuwa na ufahamu wa neno la mungu na kuwa, na Imani na pia kuwa na uoga, na mwenyez mungu. Ili nchi iendelee tunahitaji wazalendo na wenye Imani na Mungu.
Hebu nitajie combination yenye Divinity kwanza!Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini. Katika hizo combination, kuna Divinity vile vile.
Sera hizi zinataka na vikao vipi vya Chama CCM, Wadau wa Elimu, au wananchi kushirikishwa, mabadiliko katika elimu yametokana na nini na kwa ridhaa ya nani?
Wakati wa JK mambo yalianza hivi hivi, ati vijana wanaenda kujifunza Jihad, huko Sudan.Sasa kama soko la iko kinachofundishwa lipo kunashida gan
Sina uhakika kuwa ulichokiandika na wewe mwenyewe unakielwa.We ndio haujui kitu. Kabla ya kupoteza, muda na kuandika magazeti yasiyo na faida ulizia kwanza kwa, walio karibu yako. Lakin unakurupuka kutoka shimoni kama panya, aliyeona nyoka.