Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo.

Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika kukiuka sheria za kazi kwa lengo la kurekebisha mapungufu yaliyobainika.

Aidha, waajiri 89 wamefikishwa Mahakamani kwa kushindwa kutekeleza amri hizo.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 
Attachments

  • VID-20250210-WA0061.mp4
    13.2 MB
Back
Top Bottom