Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa 5/4/2024.
Awali gharama za safari hiyo ilikuwa Tsh laki 6 kwa kila shabiki ambapo laki tatu ni gharama ya kwenda na laki tatu ni ya kurudina Sasa pesa hizo zitarudishwa kwa mashabiki 30 ambao walitoa awali, hawa mashabiki 30 watakua kipaumbele cha kwanza cha watakao safiri na timu mbali na hayo gharama ya watu waliobakia 18 klabu itaangalia makundi maalum kutoka katika watu wa hamasa, na idara nyingine mbalimbali katika klabu.