Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Wewe umejuaje hawajalipwa?Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Ni hakimu huyoWewe umejuaje hawajalipwa?
Na wewe umejuaje sio hakimu,swali la kijinga sana hiliWewe umejuaje hawajalipwa?
Kufikia Aprili mwaka kesho posho za JWTZ, TISS, Polisi na Magereza zinaanza kufutwa na zitakazotoka zitatoka kuanzia tarehe 70.Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Chawa haya ndo huwa maswali yao. Hawashughulishi ubongo.Wewe umejuaje hawajalipwa?
Wasilipwe kabisa, serikali haina pesa za ovyo,wafanye kazi wasubirie mshaharaInavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Nani kasema sio hakimu we falaNa wewe umejuaje sio hakimu,swali la kijinga sana hili
Natambua na ndiyo maana nimeulizaWewe umejuaje hawajalipwa?
Hakimu umepaniki baada ya posho kuchelewa.Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Hata mishahara wanyimwe maharamia wa haki hao. Sio shida zetuInavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Wacha wafe na njaa maana wengi wao wanafwata maelekezo ya UVCCMInavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida