Serikali imeishiwa pesa?! Yashindwa kuwalipa Mahakimu pesa za posho kwa wakati

Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida

Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa

Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!

Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Huenda ni hivyo na kwasababu ya ta fujo na uharibifu. Tutarajie kuona na kusikia mengi.
 
Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida

Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa

Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!

Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Kunaweza kuwa na sababu zaidi ya hivyo, na jambo mara moja lisikutoe roho
 
Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida

Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa

Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!

Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Sasa sisi inatuhusu nini?
 
Mahakimu mpewe posho kwa kazi gani mnayofanya? Hizo posho mnazolilia ndjo zinawafanya mahama isiwe huru. Hii nchi ikikombolewa nyie mahakimu ns majaji itabidi tupitie rekord za utendajj wenu. Ukiwa na rekodi ya kupindisha sheria utapoteza ajira, naa kiinua mgongo hutapata ili ujie gharama ya kupindisha sheria, na kuhukumu kwa hila.
 
Hadi wala rushwa sugu nao wanalalamikia posho!!😀

Polisi &Mahakama hampaswi hata kupewa hiyo posho!
 
Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida

Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa

Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!

Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Mambo yao waachie wenyewe.

Cc : Mahondaw
 
Back
Top Bottom