Huenda ni hivyo na kwasababu ya ta fujo na uharibifu. Tutarajie kuona na kusikia mengi.Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Kunaweza kuwa na sababu zaidi ya hivyo, na jambo mara moja lisikutoe rohoInavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Sasa sisi inatuhusu nini?Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Mahakimu mpewe posho kwa kazi gani mnayofanya? Hizo posho mnazolilia ndjo zinawafanya mahama isiwe huru. Hii nchi ikikombolewa nyie mahakimu ns majaji itabidi tupitie rekord za utendajj wenu. Ukiwa na rekodi ya kupindisha sheria utapoteza ajira, naa kiinua mgongo hutapata ili ujie gharama ya kupindisha sheria, na kuhukumu kwa hila.Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Mambo yao waachie wenyewe.Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina limeanza kutepeta?!
Mods, naomba kichwa cha habari kisomeke Serikali haina pesa na siyo heka
Bonge la point!Hizo pesa tumezielekeza kulinda aman maana nyinyi mmeshindwa kusimamia haki