Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

Uganda kwenye wakiristo wengi kaenda na wanaoenda kanisani kila siku, seuze weye hata kanisani hukujui unakuja na utumbo huu.
Hana impact yoyote kwenye jamii pia maoni ya watu na malalamiko yamebadili mtazamo wa kwanza kuhusu huo ugeni kwani sasa sio mdaharo ila ni muhadhara.

Sijui kwanini jamii ya kikristo unamuhofia japo binafsi sikuwa nimepemdezwa kuwa mdaharo na hakuna mtu mwingine anayefanya naye mdaharo toka upande wa kikristo.

Nilimpigia simu yule shehe anayeratibu nikamuomba aniweke ili ni debate naye akakataa akasema sio mdaharo ni Mhadhara.
 
Tofautisha kutapeli pesa na kuleta mahubiri ya chuki,kama nakuja tu kuongelea habari za Uislamu na Mohamed tu na akusanye sadaka asepe sidhani kama kuna takayelalamika.
Wakristo waoga saana kukutana na ukweli mnakimbilia kuchochea chuki, mfano mkubwa huu mtandao wa jf ufungiwe kwakua members wanatukana saana uslam, shida waislam hawawezi tukana ukristo! So tuliza mshono
 
Wewe Kafiri acha kutema matapishi hapa kwa chuki za kijinga,

Hao mitume wenu mbona hua hulalamiki?

Yule Kiboko ya wachawi kutoka DRC aliwapiga hela watu kisha akarudi kwao na kuwacheka ulitoa hili povu?

Mwaka 2020 kule Moshi walikufa watu 20 wakigombania kupaka mafuta ya upako,ulitoa hili povu? hao mitume wenu kila siku wanajaza watu na kuwauzia udongo na mafuta,mbona hua upo kimya?
 
Hizo chuki zenu kwa waislamu ndio zimeanza leo tu? unataka kusema hizo chuki hazikuwepo ila zimekuwepo baada ya huyo muhubiri anayekuja? hao wachungaji wenu mbona waislamu hua hawalalamiki? TB Joshua alikuja,nani alilalamika?
 
Ni Moja wapo wa wachochezi wakubwa duniani na wachafuaji wa Imani za watu wengine. Sijui bongo kaletwa na nani na kwa madhumini gani. IMANI YETU TUILINDE.
 
Nenda kajenge hoja acha sigara
Nashanga humu JF ni mahodari kuukashifu na kuutukana Uislamu na Kiongozi wake mkuu. Leo mtetezi anakuja badala waende wakamprove wrong, wanaililia Serikali.
Na tulishakubaliana Allah ndie amaepiganiwa kwa sababu hawezi kujipigania ila Yesu anajipigania yeye mwenyewe.
 
Naomba nikiri kwamba mm ni mkristo mfla dini. Huwa nafatilia mafundisho yake. kifupi ni mafundisho mazuri na siyo ya kigaidi kama mnavyokiria. Mwacheni aje afundishe/ ahubiri imani yake.
 
Watawala waliopo wanapendelea nchi isitawalike, kwa kuinufaisha dini moja. Au ni mkakati wa wazungu kumvuruga na kumharibu mtu mweusi, asiyejitambua wala kujisimamia. Tijuana na kupigana yeye anajichitoe tu, kama Congo DRC.
 
Naomba nikiri kwamba mm ni mkristo mpla dini. Huwa nafiadlia mafundisho yrke. kifupi ni mafundisho mazuri na siyo ya kigaidi kama mnavyokilia. Mwacheni aje afundishe/ ahubiri imani yake.
Nikubalieni na mimi niandae mafundisho dhidi ya dini zingine/uislam uwanja wa Mkapa.
 
Tofautisha kutapeli pesa na kuleta mahubiri ya chuki,kama nakuja tu kuongelea habari za Uislamu na Mohamed tu na akusanye sadaka asepe sidhani kama kuna takayelalamika.
Mimi sijalinganisha bali nimeonyesha tu kwamba nchi yetu kuna watu wanatumia mgongo wa dini kutapeli watu na kuwapotosha na wamekuwa wengi sana, na ukikosoa huo utapeli waumini wanakujia juu. Sasa katika nchi ambayo watu wake wamehalalisha hadi utapeli na upotoshaji kupitia imani za dini ndio tunajifanya tunapinga mahubiri tunayodai ya chuki?
 
Tanzania waislam ni 37% pekee ukiondoa Zanzibar nahisi wanaweza kufika 25%
 
Comment za humu zinaonyesha kwa kiasi gani wakristo wa TZ wanachuki na Waislam na kama chuki za kiwango hicho wangekuwa nazo Waislam wa TZ bac kingewaka
Kusikia muhubiri wa kiislam anakuja,chuki zimewajaa kama zote,
Kila siku wachungaji kutoka nje wanakuja ila huoni hili povu,

Yule Kiboko ya wachawi alitoka DRC akawapiga hela kisha akarudi kwao kuwacheka ila wala hawaoni tabu,kule moshi walikufa wato 20 kwa kukanyagana wakigombea kupaka mafuta ila hatukuona hili povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…