Elimu ya darasani hunoa akili ambayo mtu huzaliwa nayo. Wapo watu wenye elimu hawana akili na vivyo hivyo kinyume chake.Inawezekana tatizo ni elimu, elimu ya darasani huwa wanaipiga teke..
Wewe katika kusoma kwako hujakutana na walimu hadi maprofesa ambao hawana akili?