Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mpaka kuwe na maandamanoHapa anayepaswa kuachia ngazi ni mmoja tu.
Yule top kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka kuwe na maandamanoHapa anayepaswa kuachia ngazi ni mmoja tu.
Yule top kabisa.
Kumbukeni sifa mojawapo ya kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandikaBunge la hovyo kuwahi kutokea duniani.
Je huo mkataba wa awali unaweza kutenguliwa? Vipi hiyo mingine 17 ambayo bado imefichwa?"Serikali imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu" Hili jiwe ni zito mnoo 🤣🤣🤣🤣🤣
Jambo hili si la kuenda kwa kasiTuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.
Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.
Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.
Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.
Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.
Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.
Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.
Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?
Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.
Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Imeisha hiyoo!! Zitabaki lawama tu lkn ngoma ishamalizwa.Je huo mkataba wa awali unaweza kutenguliwa? Vipi hiyo mingine 17 ambayo bado imefichwa?
Hakuna mkataba usio vujika duniani. Ukandamizwaji na kutojali vikizidi raia wenyewe huamua kuingia front. Unalielewa hilo?Imeisha hiyoo!! Zitabaki lawama tu lkn ngoma ishamalizwa.
Kama kiongozi, sidhani kama mtu kuhoji kwanini taa zako huzimi unazima zake huo ni ubaguzi!!Mh.Rais SSH ana mtihani mkubwa sana.....ila atauvuka aaamin aaamin[emoji120]
Maswali fikirishi.
Hivi wazanzibari ni raia wa daraja la pili katika JMT?!!!
Mbona wanaposhika madaraka makubwa huwa wanashambuliwa sana kwa hoja kuwa UWEZO WAO WA KIUONGOZI NI MDOGO...HAWANA MAAMUZI....WANAUZA NCHI....?!!!
Watanzania wasio wabaguzi wawe makini sana na haya mambo.....
#SayNoToRacism
#SayNoToBigotry
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hebu twende mdogo mdogo... Raia unaowazungumzia ni raia wa Nchi gan kwanza, Pia mikataba yote iwe mibovu au yenye maslahi kwa Taifa ukitaka kuvunjw mkataba unaelewa compensation zake?Hakuna mkataba usio vujika duniani. Ukandamizwaji na kutojali vikizidi raia wenyewe huamua kuingia front. Unalielewa hilo?
Huwezi kuogopa kuvunja mkataba wa mamia ya miaka kisa fidia. Ndio maana kuna mashauri ktk mahakamaHebu twende mdogo mdogo... Raia unaowazungumzia ni raia wa Nchi gan kwanza, Pia mikataba yote iwe mibovu au yenye maslahi kwa Taifa ukitaka kuvunjw mkataba unaelewa compensation zake?
Unajua ukitaka kuvunja mkataba utamlipa gharama zote muhusika ambazo zipo ndan ya muda wa mkataba? Kama uliingia mkataba wa sh elf kumi ndan ya cku mbili mimi nachukua asilimia 60 wew 40 so ukiona ni pesa kdg vunja mkataba nilipe pesa zang zote ndipo tu renew mkataba!! Aidha kuwepo na kifungu cha kuvunja mkataba kama mmojawapo kakiuka kifungu cha mkataba.Huwezi kuogopa kuvunja mkataba wa mamia ya miaka kisa fidia. Ndio maana kuna mashauri ktk mahakama
Ufafanuzi wa suala zima la bandari unafanywa na mkurugenzi wa mamlaka ya anga TCAA, hapo kwa mtu mwenye kufikiria kwa kina atagundua udhaifu wa wenye elimu na vyeo vya ngazi ya juu tulionao kitaifa.Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.
Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.
Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.
Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.
Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.
Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.
Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.
Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?
Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.
Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
So unashauri kwakuwa walisha saini twende tu hivyo hivyo? Ikiwekwa ile 17 hadharani nadhani patachimbika humuUnajua ukitaka kuvunja mkataba utamlipa gharama zote muhusika ambazo zipo ndan ya muda wa mkataba? Kama uliingia mkataba wa sh elf kumi ndan ya cku mbili mimi nachukua asilimia 60 wew 40 so ukiona ni pesa kdg vunja mkataba nilipe pesa zang zote ndipo tu renew mkataba!! Aidha kuwepo na kifungu cha kuvunja mkataba kama mmojawapo kakiuka kifungu cha mkataba.
Dunia ina mengi....mlango wa Makamu unaweza kutenda miujiza kama ilivyo sasa. Never say never !Huyu anaweza kuwa Rais wa mwisho kutoka zanzibar kutawala Tanganyika
Bunge lina watu kama Musukuma, kibajaji na japipo, halafu utegemee kutakuwa na cha maana huko?Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.
Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.
Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.
Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.
Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.
Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.
Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.
Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?
Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.
Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Sisapoti mikataba mibovu bali ukishasain mkataba hicho ni kifungoSo unashauri kwakuwa walisha saini twende tu hivyo hivyo? Ikiwekwa ile 17 hadharani nadhani patachimbika humu
Anaweza kuvuka, lakini akiwa amelemaa.!!Mh.Rais SSH ana mtihani mkubwa sana.....ila atauvuka aaamin aaamin[emoji120]
Kwa Tanganyika sio daraja la pili tu bali la nne kabisa. Hawastahili wala hawana haki kufanya maamuzi Kwa mambo yanatuhusu Watanganyika!Hivi wazanzibari ni raia wa daraja la pili katika JMT?!!!
Hili☝️☝️umesema wewe na halina ubishi wowote. Lakini kwanini uwezo wao ni mdogo? Jibu lake ni wewe kufanya utafiti na uje na jibu!Mbona wanaposhika madaraka makubwa huwa wanashambuliwa sana kwa hoja kuwa UWEZO WAO WA KIUONGOZI NI MDOGO...
Huwa wana maamuzi lakini ya hovyo na ya kijinga kama anavyofanya huyu mama yako sasa, alivyofanya Ally H. Mwinyi na J. M. Kikwete..!HAWANA MAAMUZI....WANAUZA NCHI....?!!!
Hakuna Ubaguzi hapa..Watanzania wasio wabaguzi wawe makini sana na haya mambo.....