Thibitisha uzanzibari wangu...
Nithibitishie hapa kuwa mimi ni mzanzibari....[emoji15][emoji15]
Mwenye kuutaka kuuvunja muungano atavunjika yeye kiuno....hakitavunjika kwa kupigwa na askari bali "mizimu yetu ya ujamaa wa kiafrika wa juu ya pande la ardhi la Tanzania utamvunjilia mbali kiuno na uti wa mgongo wake....
Hivi UAMSHO wako ?!!!
Hivi G55 wako ?!!!
Unatumikia maslahi ya wasiotakia mema Tanzania?!!![emoji15]
Nje ya MUUNGANO kuna :-
1)UGAIDI WA KIDINI (dini yoyote inaweza kutumiwa mifano iko tele duniani )
2)UGAIDI WA KIKOMUNISTI (Afrika ni eneo linalopiganiwa na mataifa makubwa kwa ajili ya raslimali )
3)UZANZIBARA NA UZANZIBARI
4)SIASA ZA KIKABILA ,KIKANDA NA KIDINI
Nje ya Muungano hiyo "Tanganyika" kamwe haitosimama kuwa moja.....
Nje ya Muungano kamwe hiyo Zanzibar haitokuwa moja.......
Hivi mnakwenda shule kusomea "kupakana ma...ta na kuwa wangse"?!!![emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app