Hujawahi kuwaona wajaluo wanaojiona kama wazungu tu?!!!
Kila alipokaa mkoloni ameacha athari...wako wanaoendeleza athari hizo....usitudanganye hapa kuwa walipokaa WAARABU pekee ndiko watu wake wameathirika....
Walipokaa WARENO ?!!
Walipokaa WAFARANSA?!!
Walipokaa WAINGEREZA?!!!
Kujiona waarabu ni kuvaa mavazi ya waarabu ?!!!
Mbona Brazil wamekaa Wareno na Wahispaniola na "natives" wanaishi kwa kuvaa kama wakoloni wao...kwanini kwa wazenji na hao waarabu tu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Mbona Msumbiji (mpaka wameruhusu LGBT) wanaishi na tamaduni za kireno?!! Msumbiji imeruhusu USHOGA kwa msukumo wa waarabu?!!
Au unafananisha UARABU na dini ya kiislam ?!!
Sasa uislam na uarabu wapi na wapi ?!!!
Mbona Lebanon ni waarabu na si waislam wote?!! Kwa hiyo hawana akili hao raia wake wasio waislam?!!
Mbona Misri si wote waislam(coptics) kwa hiyo wasio waislam hawana akili?!!
Morocco Algeria na kwengineko ?!!
Kwa hiyo walikotawala wazungu ndiko kuna waafrika wenye akili ?!!
Vipi Haiti ,vipi DRC ,vipi SA ?vipi Malawi ,Vipi Zambia vipi Msumbiji?[emoji1787][emoji1787]
Halafu nikujuze we sakala....hivi sisi vijana wa kiume na kike hatuishi maisha ya wazungu huku mitaani ama vyuoni....makatakei ,dada zetu kujichubua ,nywele za kubandika(za wazungu) kope ,contact lenses...wamejifunza kwa waarabu ?!! Si uzungu...je si kwenda kinyume na uafrika wetu ?!!
Baadhi ya vijana wa kiarabu nao wanaishi kizungu..hawajaiga kwa wazungu?!!
Hivi mnakwenda shuleni kusomea "kupakana mafuta na uhobobo wa kingese" nini ?!![emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app