Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

Ona sasa badara ya kujibu hoja unaanza kutukana ,hoja hatuoni manufaa ya Muungano,nipe manufaa kwa watanganyika,wanzibar lazima wautetee ,?
Mkiulizwa mtupe manufaa mnakimbilia mara kwenye dini,? Sijui ubaguzi? Wakati nyie ndo wabaguzi wakubwa na dini ipo pote na sasa hivi unaanza kutukana huna haibu?
Jibu hoja hatutaki Muungano usiyo tunufaisha unachoongea ni hisia tu!
Mara child abuse,mara chotara,mara protein hata havirelate na Muungano na hoja ?
Short sielew maana yake unajitungia hisia zako kichwani badala ya kubadili hoja
Hujathibitisha bado....

Thibitisha uzanzibari wangu.....

Nasubiri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mh.Padri Kitima ANAUSOMA MKATABA FEKI ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa mkataba ni feki unaurejeaje?!??

Kazi kwelikweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]



#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mtu katoka Paje na Makunduchi leo unampa uwaziri wa miundombinu ya Tanganyika kama sio laana ni nini. Mbona hakuna Waziri kule Mchamba wima. Hili la Bandari mama atajuta nalo hili. Kajishaua kutoa hela kwa kila goli kumbe ana hela ya Mdubai.
Huonei aibu nafsi yako kwa "kujiharishia" kupitia domoni mwako?!!!

Nini waziri kutoka Zanzibar....nchi hii imeshakuwa na mawaziri wakuu na makamu wa Rais kutoka hukohuko ....hivi mnarudia huo ubaguzi kwa sababu ya ujinga mlionao ? Upumbavu mlionao ? Udwanye? Uhobobo ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mmejivalisha ngozi ya ubaguzi wa kikanda na kuchuruzika jasho la ubaguzi wa bara na Zanzibar....


#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hujathibitisha bado....

Thibitisha uzanzibari wangu.....

Nasubiri

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuthibitisha ww ni mzanzibar..!
Ina manufaa gani kwa Tanganyika yangu na rasilimali zake ,
-Ni hoja tunayojadili
-itarudisha bandari zetu zilizouzwa ujombani?
-itarudisha haki sawa kuwa watanzania wote zanzibar na Tanganyika hasa watanganyika wawapo zanzibar
-Je inaumuhimu kwa wachangiaji wengine hapa jukwaani? Kama jibu ni No!
Basi jikite kwenye hoja acha hisia mara protein ,mara child abuse,mara uchotara,mara uthibitisho?
**Ukitaka uthibitisho wako kama wewe hujifahamu,hadi tukuthibitishe nenda NIDA hapa ni jukwaa la hoja
 
Imani ni lazima kufanya miujiza ?!!!

Kwanini Muungano wetu usiwe imani ilihali ulichanganywa mchanga wa pande mbili?!!!

Unadhani mchanganyiko ule ulikuwa ni mbwembwe tu za sherehe ?!!!

Najua unajua nguvu ya mchanga/udongo kwa maisha yetu wanadamu....

Muungano ni IMANI YENYE NGUVU SANA...MNOO...MNOO...

Narudia kusema kuwa si imani ya KIDINI...

Ila wana imani ya DINI za kikristo na kiislamu wanafanyia ibada zao na kuendelea kuamini dini zao juu ya HUU MCHANGA WA ARDHI(CHOTARA) ulio na "African spirituality & Enlightment and consciousness" ukisukumwa na IMANI kali sana ya UJAMAA WETU WA KIPEKEE WA KIAFRIKA....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu watu walio tendewa maajabu ya kutosha na Mungu Sasa hivi wameanza kumasariti Mungu yaani wanaiacha Imani Sasa hii Imani uliyo ielezea itaingia akilini Kwa wadhamiriao kuuvunja muungano
 
Huonei aibu nafsi yako kwa "kujiharishia" kupitia domoni mwako?!!!

Nini waziri kutoka Zanzibar....nchi hii imeshakuwa na mawaziri wakuu na makamu wa Rais kutoka hukohuko ....hivi mnarudia huo ubaguzi kwa sababu ya ujinga mlionao ? Upumbavu mlionao ? Udwanye? Uhobobo ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mmejivalisha ngozi ya ubaguzi wa kikanda na kuchuruzika jasho la ubaguzi wa bara na Zanzibar....


#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Siwezi kukujibu mwehu wewe.
 
Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.

Hiki kinachoendelea ni fedheha kwa bunge na wabunge; kwamba pamoja na kupitisha kumbe wao siyo final bali kazi yao ilikuwa rubber stamp au kukamilisha ratiba.

Goma limekuwa gumu na endapo Mbowe na Safu yao wataingia uwanjani kwenye mikutano ya adhara kwa agenda hii upo uwezekano pakatokea mmomonyoko mkubwa na makundi kuhusu bandari.

Changamoto kubwa ya Watanzania ni wanafiki wazuri; wakiona unataka kusikia habari hoja fulani nao wanakupigia makofi ila moyoni wana ukweli na wewe ukijiongezea unagundua huna watu nyuma yako.

Magufuli alisifika ila waliokuwa wanamsifu angewaruhusi wapige kura ya siri angelalamika kaibiwa kura kwa sababu baada ya kuondoka tu watu walewale waliokuwa mgongoni mwake walijitokeza kumkataa.

Kama walimkataa hadharani akiwa ameondoka je, walimpigia kura sirini? Kwa kuwa alifahamu fika kwamba amewakosea Watanzani aidha akiwa na nia nzuri au mbaya ndipo akaona njia sahihi ni kuchafua uchaguzi.

Kwa mantiki hii, hakuna mwenye uhakika wa nani ambaye anamkubali kiongozi wa CCM sirini. Wote tumebaki kusikia uungwaji mkono wa majukwaani ila unapokuja sirini hakuna mwenye uhakika wa kutoboa. Hii inatokana na ukweli kwamba tumewaweka makovu Watanzania kwa muda mrefu kwa kuwaaminisha tunafanya uwekezaji wenye tija matokeo yake hakuna tija.

Kwa hatua za awali Mhe. Rais ameona walipokosea wasaidizi wake, amejifunza kwa ndani nini jamii inataka, amewasikia viongozi wa kijamii na imani wanasimamia nini, lakini amewasikia wale wasaidizi wake bungeni walichangia nini; obviously amebaini wanaompotosha na kumchonganisha na jamii siyo wapinzani bali wasaidizi wake.

Inatia hasira unapodhani una wataalam wazuri kisha unagundua kazi waliyofanya inapigwa vita na kila msomi; swali la kujiuliza, hao wasomi walioteuliwa kukusaidia wameelimika? Wana exposure au wapo kwa sababu wapo?

Naamini soon Mwanasheria Mkuu wa Serikali na timu yake watapisha ofisi kwa kilichotokea, vinginevyo ikibainika mkataba haukuwa shirikishi, pamoja na kiburi cha kibinadamu bora tuchelewe kufika kuliko tufike tukiwa siyo wamoja.

Padri Kutima ametueleza Somalia na Sudan, mimi nataka niongeze Loliondo na Tarime mgodini, je, tunadhani ni nia zote nzuri ni nia nzuri?
Ccm wanafikiria kutumia matumbo Yao sio ubongo
 
Kuthibitisha ww ni mzanzibar..!
Ina manufaa gani kwa Tanganyika yangu na rasilimali zake ,
-Ni hoja tunayojadili
-itarudisha bandari zetu zilizouzwa ujombani?
-itarudisha haki sawa kuwa watanzania wote zanzibar na Tanganyika hasa watanganyika wawapo zanzibar
-Je inaumuhimu kwa wachangiaji wengine hapa jukwaani? Kama jibu ni No!
Basi jikite kwenye hoja acha hisia mara protein ,mara child abuse,mara uchotara,mara uthibitisho?
**Ukitaka uthibitisho wako kama wewe hujifahamu,hadi tukuthibitishe nenda NIDA hapa ni jukwaa la hoja
Mbona unahamisha magoli na kuongea maneno mengi yasiyokuwepo.....

Sijakuzuia usiseme lolote lile unaloamini....

Umenitaja mimi ni mzanzibari (kwa sababu uzijuazo)....nimekuuliza kuwa niwekee UTHIBITISHO unanijia na kuzunguka kwingi...

Ok basi kubali kuwa ulikosea kunihusisha na kitu usichokuwa na uthibitisho nacho kwani hatuwezi kudadavua masuala mtambuka ya nchi tukiwa na UPOGO wa UZUSHI ,UONGO NA KUPOTOSHA vitu vidogo(personal) vinavyowahusu watu.....




Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na Watanganyika wangekuwa wanapata haki sawa huko Znz ungeeleweka.
Mkuu Jidu unaongelea Tanganyika ipi ?!!!
Tanganyika haipo....ama unaongelea wabara waliokwenda kuishi Zanzibar ?!!!

Wabara waliokuwa kule siku nyingi akina mzee Natepe ,akina Mzee Mwasakafyuka...watoto na wajukuu zao ni WAZANZIBARI wazuri tu na wako "Integrated" vyema tu......unaongelea nini mkuu JLM?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umenitaja mimi kuwa mzanzibari....mara moja hii unataka kuhamisha magoli ?!!!

Nasubiri unithibitishie uzanzibari wangu kabla sijaendelea udadavuzi.....

Nasubiri.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Endelea kudadvua mkuu.

Naomba unijuze ni kivipi Tanganyika Haito kuwa moja na Zanzibar Haito kuwa moja baada ya muungano kivunjika. Nakivipi UDINI na ukabila utaingia kwenye SIASA baada ya muungano kivunjika.

Na muungano uliopo Sasa unazui vipi UDINI na ukabila kwenye SIASA na unasimamisha vipi Tanzania kuwa moja wakati watu wenyewe wameanza kuingiwa na vinyongo juu ya muungano
 
Nakuheshimu Sana General ulimwengu

Amesema ,bunge ni batili halina haki ya kujadili mambo ya wanachini
 
Endelea kudadvua mkuu.

Naomba unijuze ni kivipi Tanganyika Haito kuwa moja na Zanzibar Haito kuwa moja baada ya muungano kivunjika. Nakivipi UDINI na ukabila utaingia kwenye SIASA baada ya muungano kivunjika.

Na muungano uliopo Sasa unazui vipi UDINI na ukabila kwenye SIASA na unasimamisha vipi Tanzania kuwa moja wakati watu wenyewe wameanza kuingiwa na vinyongo juu ya muungano
Ahsante mkuu wangu [emoji120]

Mkuu wangu tulibarikiwa kuwa na kiongozi wa kwanza mwenye maono bora ,adhimu ,ya mbali zaidi kuliko mababa wote wa mataifa huru ya afrika.....Mwenyezi alitupa hazina na nguzo kuu...Rest easy El Commandante Julius K.Nyerere,amen[emoji120]

Baba wa taifa JKN aliona mbali...

Tanganyika haikuwa moja.....ilikuwa vipande vipande chini ya tawala za kichifu na kikoo...

Pamoja na kushirikiana kwa makabila na utani wa makabila na UJAMAA wao haukuwa huu UJAMAA WA KIAFRIKA aliokuja kutukusanyia kisomi hayati JKN...

Ujamaa wao kabla ya Nyerere ulikua na UBEPARI NA UMANGIMEZA na UMWINYI kulingana na mitizamo ya MAKABILA NA HISTORIA ZAO...makabila ya iliyokuwa Tanganyika hayakufanana kwa kila kitu...

Ni baba wa taifa JKN aliyefuta tawala za KICHIFU....aliyefuta UMANGIMEZA , UBEPARI NA UMWINYI.....na kuuchukua UJAMAA(SOCIALISM) na kuufinyanga uendane nasi na kuzaliwa UJAMAA WA KIAFRIKA....japo hutokea huko ila huu si UKOMUNISTI WALA UJAMAA(socialism)....

Tanganyika ikabadilika...ikabadilishwa na maono kuntu ya hayati El Comandante JKN.....alifuta mpaka vyama vingi vya SIASA ili tuuelewe mfumo wetu huu bora (UJAMAA WA KIAFRIKA)....

Ujamaa huu wa kiafrika ndani yake una msukumo wa (Pan Africanism)....ari yake mioyoni mwa wajamaa ndiyo iliyowasukuma kuyaunganisha mataifa yetu MAWILI yale (TANGANYIKA NA ZANZIBAR)...

Si ule UMANGIMEZA ,UBEPARI WA MAKABILA ,WALA UMWINYI ulioweza kuunganisha mataifa haya mawili....kamwe kamwe USINGEWEZA kuyaunganisha makabila yenye mitazamo tofauti....Nyerere is a saviour [emoji120]

Nje ya Muungano wa mataifa haya mawili kuna UKABILA NA UKANDA.....wengi wanakataa lakini nimekudadavulia hapo juu....


UDINI

Sitaki sana kuongelea imani za watu....ila ni rahisi sana kutumia UDINI na si "DINI" kupitishia "sentiments" za kisiasa..HAMU NA GHAMU za madaraka ya kisiasa .....watu wakiwa na mihemko yao huweza kuwakusanya wafia dini,wahafidhina WASIO NA UELEWA MPANA WA DINI YENYEWE ,WA DINI ZINGINE ,WA HISTORIA YA DUNIA kufanya SABOTAGE na maafa makubwa sana.....

Mifano iko mingi.....ndani mwetu ,nje ya Tanzania ,bara arabu ,mashariki ya kati ,mashariki ya mbali ,China,Amerika na Ulaya....

UKOMUNISTI

Nje ya Muungano kuna UKOMUNISTI.....Harakati za kikomunisti.....makomredi hawatoacha kutotumia FURSA hizo za mataifa yaliyotengana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wakashike madaraka kwao,kwao hawataki ushirikiano wao wanataka kwetu ,tu...!!mnataka vya watu tu..
Nyie ndo wale changu changu,chako cheti
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo mbara ananyimwa fursa za maisha Zanzibar ?!!

Yaani haruhusiwi kufanya biashara na fursa nyingine za kiuchumi ?!!

Yaani kuna kipindi wazanzibari wanaingia barabarani na marungu kuwapopoa watanganyika sawa na ilivyo kwa waafrika kusini dhidi ya wageni ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hasira yako iwakayo unaweza kuituliza kwa kumsoma baba wa taifa ,kuvisoma vitabu vyake juu ya huu muungano.....utaelewa vingi na utapunguza chuki ikuwambayo ndani mwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukapimwe akili !!!
Unajua Muundo wa proteins??Mineral salts ,and vitamin?
How zinarelate na udongo? How
Labda nikusaidie jambo
Kuna aina mbili za protein ambazo ni "essential " na non essential" ,essential mwl unajitengenezea wenyewe non essential tuna ipata kea baadhi ya mimea na wanyama, ikiwa processing tayar as protein, sisi hatuna shughuri na udongo kabisa,
Vitàmin kwa kwenye baadhi ya vyakula vya mimea, mineral the same hakuna mineral wala protein tunayoiitaji kwenye udongo,
Mtanganyika wa kyera awe na uchotara na
Halafu nani kafanya "child abuse"
Hapa mbona unaanza kuchizika ?
Watanganyika si machotara kwa sababu wazanzibar hawapend mabinti zao waolewe huku,ni kiasi kichache sana wanaoana wao kwa wao??
Short ni kuwa huna hoja?
Hoja ni Muungano haumfaidishi mtanganganyika,Tunataka haki sawa,Au tuvunje Muungano
#Kataa Muungano,Muungano ni utapeli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unakariri sayansi bila kuzama ndani ?!!!

Unazitaja kuwa PROTEINS ziko essential na non essential....sijakukatalia kuwa moja binadamu anajitengenezea mwenyewe......

Hivi hakuna mahusiano ya PROTEIN ambazo binadamu anajitengenezea na zile anazopata kupitia MIMEA NA WANYAMA?!!![emoji1787][emoji1787]

Hivi binadamu anaweza kuisukuma vyema PROTINI kufanya kazi vile VITAMINS?!!!

Je vitamins ,mineral salts hazitoki ardhini ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Je hakuna mahusiano ya ardhi na wanyama?!!!

Ili upate protini kupitia wanyama ,maziwa huhitaji wanyama wale MIMEA? Mimea inaning'inia HEWANI ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Yaani ukisikia tumeumbwa kutoka MAVUMBINI unaamini tu KIBUBUSA(DOGMATICALLY) na hupanui maandishi ya imani kwa FIKRA TUNDUIZI ?!!! [emoji1787][emoji1787]

ARDHI ndio kila kitu arawa....

Udongo uliochanganywa kati ya Zanzibar na Tanganyika umezaa udongo CHOTARA uitwao TANZANIA....toka 1964.... mimea imeota juu yake...wanyama na binadamu tunaishi juu yake...unataka uibadili "STATUS QUO"...kweli kwa mtazamo wako ,mimi nimechanganyikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaongelea kuhusu UCHOTARA....ulikataliwa na familia yake kumuoa mwanamke wa kizanzibari ?!!!

Walikupa sababu gani ?!!

Utofauti wa dini ?!! Sasa tuwalazimishe katika hilo ?!!!

Kama si DINI na sababu ilikuwa ni rangi tu....sikiliza....

Mzee mapenzi yanawezekana kokote pale.... sasa unategemea nini unapokwenda kuposa "demu" familia ya "watu wajinga-illiterate , wasio na exposure na wageni na mambo mengi " ???! Utakataliwa tu....na baadhi ya wajinga wako kila sehemu...si Zanzibar tu ?!!!

Mzeya ulinyimwa mbusususu na mabebezi wa huko?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mbona wenzako "tulio smart kichwani" TUMESHAPATA SANA...SANA....JIAMINI WEWE mgosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Utaheshimika kwa kile unachodeliver ktk nafasi uliopewa, Wazenji deliverence yenu imekuwa ya hovyo mno kwenye hiyo ngazi ya maamuzi...mnapendelea vitu vyepesi vyepesi mno
Mimi si mzenji...thibitisha uzenji wangu....kinyume chake nakushauri uwe unakula NDIZI MBIVU sana ili UBONGO WAKO uwe na uwezo tunduizi wa kujadiliana na watu ambao wako hai "kifikra"....[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Zanzibar ipo kidola....

Tanganyika haipo kidola....baba wa taifa aliifutilia mbali....akaizika....dola lake liko wapi ?!!!

Akatueleza Muungano wetu ni wa KIPEKEE...bila ya kuukubali kuwa ni wa KIPEKEE utaendelea kupata shida kifikra kwa kule kufananisha miungano ya nchi nyingine.....

Muungano wetu uko "kiimani" si imani ya DINI....imani ya kiafrika iliyoanzia kwa baba wa taifa hayati Nyerere na mzee Karume....kupitia IMANI HIYO tukaipeleka Tanganyika katika "spiritual state" iitwayo "occultation"....

Ni imani inayohitaji "African spiritualism and awakening" kuamini MIZIMU YETU YA AFRIKA NA MATAMBIKO YETU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usiwe mjinga fazili...

Acha kutanguliza HISIA zaidi ya UHALISIA uliopo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wewe akili zako haziko sawasawa.
 
Back
Top Bottom