Choboridodo
Member
- Oct 11, 2023
- 80
- 77
Mshukuru Mungu kwa wewe kuzidishiwa kidogo katika riziki yako zaidi ya huyo/wengine.Wabongo tuna maisha magumu sana, hii ni sample tu.
Mimi kwangu natumia umeme wa sh 70,000/= kwa mwezi.
Hizo unit 2 labda iwe dharura tu ya kupitisha usiku.
Sahihi kiongoziMatanzania hata waongeze sukari kg 1 iwe 10000 yanalialia mtandao yakija ishu ya chama tu kwenda yanga yamesahau matanzania yote mambumbumbu
Hujanisoma bado, hata mimi jumla ya matumizi yangu ya umeme ni sh 70,000/= kwa mwezi, lakini kutokana na uchumi ulivyotubana basi tunaungaunga tu buku mbili, buku tano mpaka buku kumi.Mshukuru Mungu kwa wewe kuzidishiwa kidogo katika riziki yako zaidi ya huyo/wengine.
Kwa matumizi yangu kwa mwezi hawawezi kuniweka kwenye Tarrif hiyo, hao ni wale wa REA.Huyo yupo kiwango Cha zero tarrif.
Unalipiwa 9000 pekee, unapewa units 75.
Wachek tanesco wakuunganishe.
= ShekhatVipi wewe utaishi milele shekhe?
Watanznaia wote tutampa kura za ndiyo, Dr. SSH.Nikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,
Juzi tena CCM wameongeza petrol kwenye moto wa kifuu kwa kuongeza tozo ya luku kwa mlala hoi
Ni nani atampa kura kiongozi huyu?
Kwahiyo wewe una maisha mazuri sababu unatumia umeme wa elfu 70?Wabongo tuna maisha magumu sana, hii ni sample tu.
Mimi kwangu natumia umeme wa sh 70,000/= kwa mwezi.
Hizo unit 2 labda iwe dharura tu ya kupitisha usiku.
Soma Ufafanuzi kwenye Post namba 288Basi wewe tuoneshe wapi Kuna ongezeko la hiyo pesa.
Na Mimi simpendi kabisaNikiwa miongoni mwa wanaouchukia uongozi huu unaomlimbikizia kodi na tozo mwananchi mlala hoi,
Juzi tena CCM wameongeza petrol kwenye moto wa kifuu kwa kuongeza tozo ya luku kwa mlala hoi
Ni nani atampa kura kiongozi huyu?
Siyo nchi hiiIko siku yao inakuja wananchi hawatawasikia tena viongozi,wataamua yao.
Hatuandiki tu uzi kujifurahisha mkuu! Na kama ndivyo, usisemee Watanzania wote, Jisemee weweWatanznaia wote tutampa kura za ndiyo, Dr. SSH.
Kenya wanajitambua sana,usitegemee Hilo kwenye nchi ambayo raia hawana akiliRuto aliwaza kama hivi hivi