KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
nabadoooo mpaka msemeeeeeeeeeeeee nyaambaaafffffffffffffffffffffff
 
Mshukuru Mungu kwa wewe kuzidishiwa kidogo katika riziki yako zaidi ya huyo/wengine.
Hujanisoma bado, hata mimi jumla ya matumizi yangu ya umeme ni sh 70,000/= kwa mwezi, lakini kutokana na uchumi ulivyotubana basi tunaungaunga tu buku mbili, buku tano mpaka buku kumi.

Kimsingi kwakuwa nayajuwa matumizi yangu kwa mwezi ilibidi niwe nanunuwa once hata unit za sh 80,000/= kwa pamoja lakini haiko hivyo, wote tunaungaunga tu mpaka mwisho wa mwezi.
 
kama umeme mliambiwa mtavuta kwa 27,000! na gafla ukarudishwa 321,000/= na mkawa kimya unakuja kulalama kuongezwa jero!!!
MAITI HUWA INASUBIRI KUSOGEZWA KABURINI TULIA tulia tukanunue maeneo ya kutuzikia marekan, hapa tunachuma tunasepa maiti hazina shida!
 
Wakuu tuanzishe mgomo tafadhali
Tarehe 10 mwezi huu mgomo nchi nzima kama ni kufa acha tufe, yaani ni kufa ama kupona. Hii nchi bila damu kumwagika haiwezi kunyooka kamwe
1. Maisha magumu
2. Kodi za kumkandamiza mwananchi kila kona.
3. Utawala wa ovyo, raisi hafai na watendakazi wake ovyo
4. Viongozi wapenda rushwa kuliko haki
Tumechoka maisha ya kuwanufaisha viongozi hatutaki kuwa na kiongozi yeyote tutajiongoza wenyewe. Free Nation
 
Mimi nadhani hatushinikizi vita ila huko tunakokwenda jambo litatokea. Serikali inapaswa kuweka kodi zinazoeleweka na sio kupachika kodi za ajabu na kuwanyonya wananchi. Ni vema wangeongeza kodi kwenye vitu hatarishi kwa afya kama pombe na sigara.

Lakini pia kabla ya kuongeza kodi wangepaswa kuomba maoni kwa wananchi ambao ndo watumiaji. Niweke kama nukuu kwamba mtumishi wa kawaida anapoichafulia sifa serikali atakayelaumiwa ni rais na sio mwengine
 
Back
Top Bottom