KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
In grand scheme of things hichi sio kitu kibaya sana. Kwani kwa kufanya hivyo hata wananchi masikini wa hali ya chini ambao ndio tegemeo la chama tawala wataona uhalisia wa yanayoendelea hata kwa kiasi kidogo. Na kutorudia maamuzi subjectively uchaguzi ujao.
 
Kuna siku itafika elfu kumi...nipo nimekaa pale
 
Kwanini SERIKALI haitoi majibu juu ya hili?

Kwanini muwadharau Wananchi?
 
Kizimkazi anakera sana.mimi nimenunua Jana umeme naona makato yameongezeka kimya kimya nikawapigia Tanesco hawakupokea simu yangu.Tanesco wamekuwa matapeli kama wale matapeli wa iyo ela tuma kwenda eateli
 
Hii hapana ni mbaya
 
Back
Top Bottom