Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaifanyia kazi naamini yutakujulisha kwenye simu uje ofisin kutusaidiaa piaa24215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Risiti inajielwza mbona, umekatwa deni miez 424215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Tozo wanachukua 2000 kila mwezi so possibly ndio hivyoUmejuaje? Au umejitungia
Nikuoneshe screenshot za miamala?Tozo wanachukua 2000 kila mwezi so possibly ndio hivyo
Ila najua pia hujawahi kununua umeme
NoNikuoneshe screenshot za miamala?
Unabii wa Jome Kenyata kwa.ba Nyerere anatawala Maiti utadumu kwa miaka 60, so bado sanaTanzania kwa sasa wananchi tumefanywa kuwa wajinga kwa watawala asubuhi wakiamuka hufanya watakavyo kuamua mambo ya wananchi ! Kwa sasa serikali unakata kwenye luku tsh 2000/= na haijataarifu wananchi kuhusu Makato hayo ambayo yametoka tsh 1500 hadi 2000 /=hivi serikali imesubiri machafuko yatokee ndiyo ielewe kuwa watu wamechoka na utawala huu!
Viongozi wa serikali ebu mshaurini raisi vizuri hii meli inapoelekea inaenda kuzama , watu wamechoka maisha magumu mtu unannunua hata umeme wa tsh 2000 inashindikana ?
Na hii serikali kabisa Ndio mnaiona yakuongoza miaka mitano tena ! Imeshindwa kujipambanua wakati huu je mwishoni sihatari raisi anapoenda KUMALIZA mda wake si Ndio atapuuza Kila kitu Zaidi ya sasa.
Raisi fatilia watendaji umeamua kuwa chura kiziwi lakini ujue Uma utakuamusha! Hakuna vyombo vya dola vitakavyoua raia wengi kwa kulinda mtu mmoja huyo mmoja ndiye atatoka kwa ajiri ya wengi ! Haya nayaongea naona yanakaribia endelea kuwa chura kiziwi
Basi tulia acha ukorofi

Kuna somekind of kifungo nchi hiiUnabii wa Jome Kenyata kwa.ba Nyerere anatawala Maiti utadumu kwa miaka 60, so bado sana
MAMA ANAUPIGA MWINGI, NA MIKOPO LUKUKI INASUBIRI KULIPWA NA WAJUKUU ZETUTanzania kwa sasa wananchi tumefanywa kuwa wajinga kwa watawala asubuhi wakiamuka hufanya watakavyo kuamua mambo ya wananchi ! Kwa sasa serikali unakata kwenye luku tsh 2000/= na haijataarifu wananchi kuhusu Makato hayo ambayo yametoka tsh 1500 hadi 2000 /=hivi serikali imesubiri machafuko yatokee ndiyo ielewe kuwa watu wamechoka na utawala huu!
Viongozi wa serikali ebu mshaurini raisi vizuri hii meli inapoelekea inaenda kuzama , watu wamechoka maisha magumu mtu unannunua hata umeme wa tsh 2000 inashindikana ?
Na hii serikali kabisa Ndio mnaiona yakuongoza miaka mitano tena ! Imeshindwa kujipambanua wakati huu je mwishoni sihatari raisi anapoenda KUMALIZA mda wake si Ndio atapuuza Kila kitu Zaidi ya sasa.
Raisi fatilia watendaji umeamua kuwa chura kiziwi lakini ujue Uma utakuamusha! Hakuna vyombo vya dola vitakavyoua raia wengi kwa kulinda mtu mmoja huyo mmoja ndiye atatoka kwa ajiri ya wengi ! Haya nayaongea naona yanakaribia endelea kuwa chura kiziwi
Wanatafuta hela ya kupeleka wasanii Korea na kuhonga wananchi t-shirt na ubwabwa uchaguzi unakuja atiTanzania kwa sasa wananchi tumefanywa kuwa wajinga kwa watawala asubuhi wakiamuka hufanya watakavyo kuamua mambo ya wananchi ! Kwa sasa serikali unakata kwenye luku tsh 2000/= na haijataarifu wananchi kuhusu Makato hayo ambayo yametoka tsh 1500 hadi 2000 /=hivi serikali imesubiri machafuko yatokee ndiyo ielewe kuwa watu wamechoka na utawala huu!
Viongozi wa serikali ebu mshaurini raisi vizuri hii meli inapoelekea inaenda kuzama , watu wamechoka maisha magumu mtu unannunua hata umeme wa tsh 2000 inashindikana ?
Na hii serikali kabisa Ndio mnaiona yakuongoza miaka mitano tena ! Imeshindwa kujipambanua wakati huu je mwishoni sihatari raisi anapoenda KUMALIZA mda wake si Ndio atapuuza Kila kitu Zaidi ya sasa.
Raisi fatilia watendaji umeamua kuwa chura kiziwi lakini ujue Uma utakuamusha! Hakuna vyombo vya dola vitakavyoua raia wengi kwa kulinda mtu mmoja huyo mmoja ndiye atatoka kwa ajiri ya wengi ! Haya nayaongea naona yanakaribia endelea kuwa chura kiziwi
SIO KWELI MWEZI WA JUNE NILINUNUA UMEME NIMEKATWA NA MEI PIA, HATA MIEZI YOOOTE YA NYUMA NIMELIPAAHiyo debt collected ni kodi ya nyumba ya TRA.Ulikuwa hujalipa miez kadhaa