KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Tunaifanyia kazi naamini yutakujulisha kwenye simu uje ofisin kutusaidiaa piaa
 
6000??
Toa 2000 July
4000 tujuze inekaaje kaàje tunaangalia ukigawa hata kwa 1500 haikai??
 
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Risiti inajielwza mbona, umekatwa deni miez 4
 
nimetoka kupiga simu tanesco huduma kwa wateja jibu nililopewa ni kuwa mwezi august 2023 nilikatwa 1,000/= badala ya 1,500/= hivyo ndiyo maana walikata 2,000/= na majibu zaidi niende manispaa ya ilala nitapewa majibu kwanini imekuwa hivyo, muda huu pia nimenunua umeme nimekatwa 3,562.40 nimepewa jibu kuwa hili ni deni wakati mita inafungwa japo imepita zaidi ya miaka 15 wanasema majibu yako manispaa pia.
 
Tanzania kwa sasa wananchi tumefanywa kuwa wajinga kwa watawala asubuhi wakiamuka hufanya watakavyo kuamua mambo ya wananchi ! Kwa sasa serikali unakata kwenye luku tsh 2000/= na haijataarifu wananchi kuhusu Makato hayo ambayo yametoka tsh 1500 hadi 2000 /=hivi serikali imesubiri machafuko yatokee ndiyo ielewe kuwa watu wamechoka na utawala huu!
Viongozi wa serikali ebu mshaurini raisi vizuri hii meli inapoelekea inaenda kuzama , watu wamechoka maisha magumu mtu unannunua hata umeme wa tsh 2000 inashindikana ?

Na hii serikali kabisa Ndio mnaiona yakuongoza miaka mitano tena ! Imeshindwa kujipambanua wakati huu je mwishoni sihatari raisi anapoenda KUMALIZA mda wake si Ndio atapuuza Kila kitu Zaidi ya sasa.

Raisi fatilia watendaji umeamua kuwa chura kiziwi lakini ujue Uma utakuamusha! Hakuna vyombo vya dola vitakavyoua raia wengi kwa kulinda mtu mmoja huyo mmoja ndiye atatoka kwa ajiri ya wengi ! Haya nayaongea naona yanakaribia endelea kuwa chura kiziwi
 
Unabii wa Jome Kenyata kwa.ba Nyerere anatawala Maiti utadumu kwa miaka 60, so bado sana
 
MAMA ANAUPIGA MWINGI, NA MIKOPO LUKUKI INASUBIRI KULIPWA NA WAJUKUU ZETU
 
Wanatafuta hela ya kupeleka wasanii Korea na kuhonga wananchi t-shirt na ubwabwa uchaguzi unakuja ati
 
Hiyo debt collected ni kodi ya nyumba ya TRA.Ulikuwa hujalipa miez kadhaa
SIO KWELI MWEZI WA JUNE NILINUNUA UMEME NIMEKATWA NA MEI PIA, HATA MIEZI YOOOTE YA NYUMA NIMELIPAA
 
Attachments

  • Screenshot_20240720_045941_Messages.jpg
    Screenshot_20240720_045941_Messages.jpg
    121.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20240720_050047_Messages.jpg
    Screenshot_20240720_050047_Messages.jpg
    119.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom