Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hojaNikitoa maoni kutoka kwenye heading ya uzi.
Hivi neno ”Mh” linapaswa kutumiwa ktk mazingira gani?anayeitwa hivyo anapaswa awe na nini au atende nini ili ku-fit ndani ya hilo neno?au labda kamusi ya Kiswahili imeandikwa upya....sijui!
Canite yote imejaa majitu ya madili dili tuNilikuwa naona kwenye media kwamba tozo kwenye LUKU zinapanda kimya kimya leo baada ya kununua LUKU ya 10,000/= na nimeambulia unit 10 pekee badala ya 28. Ile kuchungulia makato nikakuta "Debit" - Tsh.6000+ na kujikuta kati ya elfu 10 nimelipia umeme wa elfu tatu tu!
Hii imesababishwa na nini wakati kila mwezi lazima umeme ununuliwe? Haya makato yametoka wapi?
View attachment 3035158
Nilikuwa naona kwenye media kwamba tozo kwenye LUKU zinapanda kimya kimya leo baada ya kununua LUKU ya 10,000/= na nimeambulia unit 10 pekee badala ya 28. Ile kuchungulia makato nikakuta "Debit" - Tsh.6000+ na kujikuta kati ya elfu 10 nimelipia umeme wa elfu tatu tu!
Hii imesababishwa na nini wakati kila mwezi lazima umeme ununuliwe? Haya makato yametoka wapi?
View attachment 3035158
Mkuu nchi ina zaidi ya watu M60 hao wenye kupumbazwa na simba na yanga wanafika Milioni ngapi katika hiyo M60?Mazezeta yanapumbazwa na simba na yanga
Inafika muda unaangalia na masilahi yako binafsi tujaribu kuwaelewa, hao watu washapitia misukosuko wakati sisi tupo humu mitandaoni sasa ajabu bado tunataka waendelee tu kutufurahisha kwa kuwa wapinzani ilihali tunajua hakuna watakachoweza kubadilisha bila nguvu yetu sisi ambao tumejificha humu mitandaoni.Kwamba haya mambo ndio yamemvutia sana Mch Msigwa hadi ameona ccm inaleta maendeleo kwa kasi na I awali wananchi.
Hizo ndio zinaitwa akili za ndezi!
Ukiona huyawezi jiondoe na kukaa kimya. Lakini huwezi kutafuta uongozi na watu wakakupigania ukawa kiongozi wao kisha ghafla uyapinge yale ulikuwa ukiwahubiria kisa maslahi yako binafsi.Inafika muda unaangalia na masilahi yako binafsi tujaribu kuwaelewa, hao watu washapitia misukosuko wakati sisi tupo humu mitandaoni sasa ajabu bado tunataka waendelee tu kutufurahisha kwa kuwa wapinzani ilihali tunajua hakuna watakachoweza kubadilisha bila nguvu yetu sisi ambao tumejificha humu mitandaoni.
Wenzetu Kenya wananchi wameamua kufanya walichoona wanaweza kufanya ili kupata wananchoona sahihi kwao ila sisi bado ndio kwanza tunakazana kulaumu mwanasiasa kutoka upinzani kwenda chama tawala.
Kosa lake hapo ni lipi? Ana uhuru wa kubadili misimamo yake na kuangalia maslahi yake lazima tuheshimu hilo hauna deni nae, yani ulitaka miaka yake yote aendelee kuwa mpinzani na apitie misukosuko ya upinzani kisa kuwafurahisha nyie.Ukiona huyawezi jiondoe na kukaa kimya. Lakini huwezi kutafuta uongozi na watu wakakupigania ukawa kiongozi wao kisha ghafla uyapinge yale ulikuwa ukiwahubiria kisa maslahi yako binafsi.
Mkuu nadhani wewe unaweza kuwa na familia, sasa kila siku uwe unaipigia kelele kuhusu madhara ya ushoga, halafu ghafla ukumbuke maslahi yako binafsi na uamue kuwa shoga!
Hapo unaona ni sawa tuu?
Ulimuona Lowassa alivyohama CCM kuja Chadema na baadae kurudi? Alitukana mtu au kuwakebehi upande wowote? Kafulila aka Tumbili umeona akitukana au kusimama kukebehi alikotoka? Na wapo wengi tuu wamehama lakini hawajafanya upuuzi huwa na maamuzi yao yameheshimiwa.Kosa lake hapo ni lipi? Ana uhuru wa kubadili misimamo yake na kuangalia maslahi yake lazima tuheshimu hilo hauna deni nae, yani ulitaka miaka yake yote aendelee kuwa mpinzani na apitie misukosuko ya upinzani kisa kuwafurahisha nyie.
Kenya hawakuhitaji kuwalaumu wanasiasa bali wamechukua hatua wenyewe kwa namna wanayoona inafaa ila sisi kazi lawama tu mwanasiasa akihama chama lawama tunamuona adui, watu wakishabikia mpira na muziki lawama.
Haya yote ni kwa sababu tumekuwa na maneno mengi kuliko vitendo, yani tunataka sie tuongee humu halafu vitendo wafanye wengine ndio maana tunalawama za kijinga jinga.
mimi nilinunua wa 9000 wakakata 6000
Kwenye maelezo yao walisema nyumba za kawaida tutakatwa 2000...Hivi hawa watukuliaje cc raia dah
Hujanunua umeme miezi mitatu iliyopita. Yani mara ya mwisho ulinunua mwezi wa 4. So wamechukua tozo ya miezi mitatu shilingi 2000 kila mwezi jumla 600024215612581
9002241922014596431
11.2KWH
3706 9710 9756 6366 7594
Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00
Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Labda miezi zaidi ya mitatu coz tozo ya 2000 imeanza JulyHujanunua umeme miezi mitatu iliyopita. Yani mara ya mwisho ulinunua mwezi wa 4. So wamechukua tozo ya miezi mitatu shilingi 2000 kila mwezi jumla 6000