Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kwa kupiga hesabu, umetumia elfu 10 ila umeme umepewa wa elfu 4 na elfu 6 wamechukua deni.
Kwa watumiaji wa kawaida, umeme wa buku tunapata unit 2.8 so kwa buku 4 ni sahihi 11.2 unit.
Swali ni, elfu 6 imeenda wapi?
Either una deni au uwa unapitisha miezi mingi bila kununua umeme (ie kulipa 1500 yao).