KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwa kupiga hesabu, umetumia elfu 10 ila umeme umepewa wa elfu 4 na elfu 6 wamechukua deni.

Kwa watumiaji wa kawaida, umeme wa buku tunapata unit 2.8 so kwa buku 4 ni sahihi 11.2 unit.

Swali ni, elfu 6 imeenda wapi?

Either una deni au uwa unapitisha miezi mingi bila kununua umeme (ie kulipa 1500 yao).
 
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Hiyo namba ya mita ni ya nyumbani kwako halafu unaiweka humu
 
Labda miezi zaidi ya mitatu coz tozo ya 2000 imeanza July
Miezi minne mara 1500/ kodi bado ni 1500 hio 2000 ilikatwa mara moja kwa baadhi ya watu ambao hawakukatwa pindi ilivyopanda from 1500/mpaka 2000/
 
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??@£^<<[%^>><
 
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Hiyo debt collected ni kodi ya nyumba ya TRA.Ulikuwa hujalipa miez kadhaa
 
24215612581
9002241922014596431
11.2KWH

3706 9710 9756 6366 7594

Cost 3,278.69
VAT 18% 590.16
EWURA 1% 32.79
REA 3% 98.36
Debt Collected 6000.00
TOTAL 10,000.00

Mwenye UELEWA anieleweshe hiki wanachokifanya TANESCO ni nini??
Kuna watu wana bil 7 ndani huku wengine wakikamuliwa mpaka utumbo
 
Kwa kupiga hesabu, umetumia elfu 10 ila umeme umepewa wa elfu 4 na elfu 6 wamechukua deni.

Kwa watumiaji wa kawaida, umeme wa buku tunapata unit 2.8 so kwa buku 4 ni sahihi 11.2 unit.

Swali ni, elfu 6 imeenda wapi?

Either una deni au uwa unapitisha miezi mingi bila kununua umeme (ie kulipa 1500 yao).
HIIII MTR TUNAENDAA KUIKAGUAAAA

HUYU BWANA INAONEKANA KAMA HAJAWAHI KUINGIXA LUKU JULY 2000 NA MIEZI KADHAA NYUMA BASI KUNA SHIDA UNATUMIA UMEME UPI??SIKUZOTE

ELSE UTUONYESHE UNA MAKUBALIANO NA TANESCO KUKATWA KIASIKADHAA KILA MWEZI

NAKAMA UNAMAKUBALIANO UKINUNUA TU KILA MWEZI WANAKATA JE HII MIEZI HUKUNUNUA UMEME????MPAKA IFIKE 6000??
 
Back
Top Bottom