KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

KERO Serikali imeongeza tozo LUKU kutoka Tsh 1,500 mpaka Tsh 2,000 kimya kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nilikuwa najiuliza maswali kama shirika za serikali watafanya kazi za TRA, Je TRA wao kazi yao ni ipi haswa.
Yaani imekuwa kuunganishiwa umeme serikali imekufanyia hisani, kuna vocabulary wanasema debt collected... which debt? Nimekukopa lini?

Kwa upande wangu naona watanzania ni watu wa ajabu sana. Mnakubali vipi kunyonywa kiasi hiki?

Je watu watakamika wapi na wao ndio wenye dola?

Ila kuna siku watanzania wataelewa haki zao za msingi ni ipi.. na siku hiyo tutakuwa tumechelewa sana
 
Tunaongozwa na watu waongo, si walisema umeme utashuka bei baada ule mradi wa rufiji kuanza kazi!!!¿
Hiyo siyo bei ya umeme, ni kodi ya jengo.

Kama unaishi nyumba ya kupanga na una mita ya peke yako maana yake unamlipia kodi mwenye nyumba.

Hawa mwisho wao hauko mbali, Mungu amewatia upofu hawataamini ikifika punda anapogoma.
 
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.

Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi yameshafunguliwa?

Je, kodi wanazotozwa wananchi bado hazitoshi? Je, mmeshindwa kutumia rasilimali zilizopo nchini, kuna madini, maliasili na vivutio mbalimbali vya utalii n.k pamoja na vyanzo hivi vya mapato, serikali imeshindwa kuwa bunifu na kutegemea tozo na kuendelea kunyonya na kufanya maisha ya watanzania yazidi kuwa magumu?

Hali hii itaendelea mpaka lini?

View attachment 3030797
Wanataka ya
Mwigulu atasababisha kitu nchi hii, subi

Wakenya Wana akili sana! Hata walivyofanya uharibifu ni baada ya polisi kuanza kuua waandamanaji! Nyerere anaongoza maiti - Jomo Kenyatta
 
Si mjiue tu kuliko kuendelea kuishi huku mnaumia na kulialia.

Thed weld dwellers bana

Commit suicide!
Sidhani kama huu ushauri ungeweza kumpa ndugu yako wa karibu unayempenda. Binadamu tunajiamini sana tukiwa wazima na bado hatujatokewa na mabaya sisi wenyewe au katika circle yetu ya karibu. Ila umeongea ki low-mided sana, umetumia akili ya level ya chini sana.
 
Back
Top Bottom