Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

On point Mkuu, Wabongo tuna tabia ya kushikilia sana mambo yasiyo maana kwenye maisha yetu ya kila siku.
 
Hawa ndio maadui wakubwa wa taifa
Upo sahihi mimi binafsi uwezo wa Mwigulu nina mashaka nao sana ingawaje kila kukicha anasifiwa huwezi kupeleka bungeni hoja ya kupandisha kodi ya mafuta na miamala ya simu kwenye kipindi kigumu cha Corona wakati Nchi nyingi zinaungana kwa kuwa na kodi ya 15% duniani ili kuendana na hali ya Uchumi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…