Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

SHERIA (muswada huu) HII NDIO MKOMBOZI WA TAIFA ,
SIYO MAKELELE YA WANA MITANDAO KUPINGA MWARABU
 
Sikuwahi kuwaza kuwa Samia sna kiburi namna hii.

Yuko insensitive kabisa na kitendo hiki kibaya kabisa anachokifanya!

Kwa kweli hii ni zaidi ya dharau kwa umma.
Yule Mama akiwaona Waarabu anafurahi mpaka jina la mwisho linaonekana!
Wazanzibar wanajiona na wao ni Waarabu!
 
Sikuwahi kuwaza kuwa Samia sna kiburi namna hii.

Yuko insensitive kabisa na kitendo hiki kibaya kabisa anachokifanya!

Kwa kweli hii ni zaidi ya dharau kwa umma.
Hata Mimi sikuwahi kabisa kufikiri Mh Rais wetu huyu atakuwa na kibri mithili ya kiasi hiki

Nawaza huenda huyu sio yeye. Lakini kama sio yeye, kwa nini haweki reverse gear. Ni mbele kwa mbele, hajali kabisa.
 
Huu ni uhaini.

Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?

Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Nachojiuliza, hata kama ni jema, kwani Samia ana haraka gani?!

Mbona model yake ya uongozi, haitaki muda wa kuwaelewesha watu wake?!

Mfano, kwa nini asiandae na kupokea maoni kwanza kwa mambo makubwa kama haya.

Mbona mengine anaunda Tume mbalimbali.

Kweli Samia ana kibri namna hii
 
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    18.3 KB · Views: 3
Ndugu zangu watanzania,shida ni kuziruhusu zile sheria za mwendo kasi kupitishwa kiharamia ambazo pamoja na mengine ni zile kinga za kutoshtakiwa baadhi pindi wawapo ofisini ama baada ya kutoka ofisini,na kwa sababu hizi ndio sababu ya kutopata hata katiba mpya kwani kinga ni tamu,kuliko katiba mpya.🤔
 
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
"Kupitia upya" ni ya nini, wakati wakati kinachotakiwa sasa hivi ni kuwa na mikataba isiyo hatarishi kwa nchi yetu?

Kwa haya wanayoyafanya hawa watu ni wazi kuwa wanatafuta machafuko ndani ya nchi hii.
Hii siyo kawaida hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…