Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

Binafsi nafikiri huyu Mama anaweza kuwa na mission mbaya ambayo wananchi wengi hatujaijua .hii si bahati mbaya.kinachoniuma Sana Sana tungepumulia kwenye bunge.sasa nalo limeshakuwa scrape .we people of Tanganyika need to act. And the time is NOW
Bunge ambalo halina uwezo wa Social inferences
 
Mkuu CWR2016
Umeeleza vyema kabisa.
Hili suala la BANDARI ninakuhakikishia ni jambo ambalo lonaenda kutuunganisha wa Bara.

Leo hii ccm na upinzani na wanasheria wanaongea lugha moja mkuu hii haijawahi kutokea.

Ninakuhakikishia kuna kitu kizito kinakuja na si muda mrefu.

Ni bora uvunjwe huu mkataba tuwalipe matrilioni kuliko mkataba huu kuendelea.

Ninahisi hasira sana katika hili.
 
Akili ni hiyo.
Ni kuvaa ukichaa kabisa, na kuuvunjilia mbali.

Na kulipa tutalipa tunavyojisikia.

Ila wote waliotufikisha hapa, tuweke record zao sawa, watazitapika kila sehemu iliyowazi. Inauzi sana.
 
Akili ni hiyo.
Ni kuvaa ukichaa kabisa, na kuuvunjilia mbali.

Na kulipa tutalipa tunavyojisikia.

Ila wote waliotufikisha hapa, tuweke record zao sawa, watazitapika kila sehemu iliyowazi. Inauzi sana.

Msoga na genge lake wapigwe alama nyekundu, yule jamaa mnafiki sana na muuaji.
Ninaamini atashughulikiwa ni suala la muda
 

Binafsi napata pain ambayo sijawahi ku experience .hivi kunawanasiasa wa CCM ambao wamechefukwa na hili?
 
Kuna suala la kutangaza bayana kama anayeleta mkataba huu upitishwe ana maslahi binafsi k.m.f. wanaopewa tenda hii ni ndugu. Kitendo cha kupatia DPW ukiritimba (monopoly) wa miundominu mkakati kama bandari , tena zote nchini kinatia shaka sana.
Mungu iokoe Tanzania.
 
Huu ni uhaini.

Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?

Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Shida kubwa ipo kwenye katiba kama tungekuwa katiba bora hata chama kikae madarakani milele huu ujinga usingekuwa unafanyika sasa kiongozi anakinga hadi kufa kwake utamuambia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…