Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

Binafsi nafikiri huyu Mama anaweza kuwa na mission mbaya ambayo wananchi wengi hatujaijua .hii si bahati mbaya.kinachoniuma Sana Sana tungepumulia kwenye bunge.sasa nalo limeshakuwa scrape .we people of Tanganyika need to act. And the time is NOW
Bunge ambalo halina uwezo wa Social inferences
 
Kwenye ishu ya bagamoyo port.

Iko hivi, baada ya wao kuona ilishatiwa ukakasi na kuelezewa uozo wake, basi hiki wanachofanya saivi wameenda mbele zaidi. Yani wameamua sasa wachukue bandari zote kabisa, mpaka njia zake na maegesho wamechukua.

Kiufupi, Kalamu , denooJ , Glenn , kasomeni ile stori ya yoga , jamaa syndicate yao imeamua ipige pigo moja, na limalize kila kitu nchi nzima, wao na vizazi vyao watakula miaka 200 ijayo.

Na wanaharakisha kila kitu fasta sana, ili ikitokea akaja mwingine akavunja, basi "demages" watazolipwa ni kubwa sana.

Hujiulizi hadi early projects eti zimeshaanza hata kabla ya kuwa ratified.

Kiufupi wametushika pabaya
Mkuu CWR2016
Umeeleza vyema kabisa.
Hili suala la BANDARI ninakuhakikishia ni jambo ambalo lonaenda kutuunganisha wa Bara.

Leo hii ccm na upinzani na wanasheria wanaongea lugha moja mkuu hii haijawahi kutokea.

Ninakuhakikishia kuna kitu kizito kinakuja na si muda mrefu.

Ni bora uvunjwe huu mkataba tuwalipe matrilioni kuliko mkataba huu kuendelea.

Ninahisi hasira sana katika hili.
 
Mkuu CWR2016
Umeeleza vyema kabisa.
Hili suala la NANDARI ninakuhakikishia ni jambo ambalo lonaenda kutuunganisha wa Bara.

Leo hii ccm na upinzani ma wanasheria wanaongea lugja moja mkuu hii haijawahi kutokea.

Ninakuhakikishia kuna kitu kizito kinakuja na si mida mrefu.

Ni bora uvinjwe huu mkataba tuwalipe matrilioni kuliko mkataba huu kuendelea.
Akili ni hiyo.
Ni kuvaa ukichaa kabisa, na kuuvunjilia mbali.

Na kulipa tutalipa tunavyojisikia.

Ila wote waliotufikisha hapa, tuweke record zao sawa, watazitapika kila sehemu iliyowazi. Inauzi sana.
 
Akili ni hiyo.
Ni kuvaa ukichaa kabisa, na kuuvunjilia mbali.

Na kulipa tutalipa tunavyojisikia.

Ila wote waliotufikisha hapa, tuweke record zao sawa, watazitapika kila sehemu iliyowazi. Inauzi sana.

Msoga na genge lake wapigwe alama nyekundu, yule jamaa mnafiki sana na muuaji.
Ninaamini atashughulikiwa ni suala la muda
 
Kwenye ishu ya bagamoyo port.

Iko hivi, baada ya wao kuona ilishatiwa ukakasi na kuelezewa uozo wake, basi hiki wanachofanya saivi wameenda mbele zaidi. Yani wameamua sasa wachukue bandari zote kabisa, mpaka njia zake na maegesho wamechukua.

Kiufupi, Kalamu , denooJ , Glenn , kasomeni ile stori ya yoga , jamaa syndicate yao imeamua ipige pigo moja, na limalize kila kitu nchi nzima, wao na vizazi vyao watakula miaka 200 ijayo.

Na wanaharakisha kila kitu fasta sana, ili ikitokea akaja mwingine akavunja, basi "demages" watazolipwa ni kubwa sana.

Hujiulizi hadi early projects eti zimeshaanza hata kabla ya kuwa ratified.

Kiufupi wametushika paba

Mkuu CWR2016
Umeeleza vyema kabisa.
Hili suala la BANDARI ninakuhakikishia ni jambo ambalo lonaenda kutuunganisha wa Bara.

Leo hii ccm na upinzani na wanasheria wanaongea lugha moja mkuu hii haijawahi kutokea.

Ninakuhakikishia kuna kitu kizito kinakuja na si muda mrefu.

Ni bora uvunjwe huu mkataba tuwalipe matrilioni kuliko mkataba huu kuendelea.

Ninahisi hasira sana katika hili.
Binafsi napata pain ambayo sijawahi ku experience .hivi kunawanasiasa wa CCM ambao wamechefukwa na hili?
 
Kuna suala la kutangaza bayana kama anayeleta mkataba huu upitishwe ana maslahi binafsi k.m.f. wanaopewa tenda hii ni ndugu. Kitendo cha kupatia DPW ukiritimba (monopoly) wa miundominu mkakati kama bandari , tena zote nchini kinatia shaka sana.
Mungu iokoe Tanzania.
 
Huu ni uhaini.

Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?

Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Shida kubwa ipo kwenye katiba kama tungekuwa katiba bora hata chama kikae madarakani milele huu ujinga usingekuwa unafanyika sasa kiongozi anakinga hadi kufa kwake utamuambia nini
 
Back
Top Bottom