Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

ccm wote wamekubaliana kabla ya mama kuangua sahihi,wabunge kama wangekataa huu mkataba ungepitaje?
Usimuite mama, mama hawezi kuuza watoto wake. Mama halisi tuko tayari kupambana na mbwa mwitu kuokoa wanawe. Huyu hajali!

Huyu ni rais asiyejua nini nguvu ya kiti cha urais inavyoweza kupeleka wananchi utumwani pindi akikosa umakini.
 
Hapo unakosea mama atabaki kuwa mama yeye kaajirawa na ccm,ulitaka fanye kinyuma na makubalino ya chama chake?

Msimtwishe zigo lote pekeyake umesikia wapi chama kikimkataa kwa mambo yote yanayoendele?
 
Hapo unakosea mama atabaki kuwa mama yeye kaajirawa na ccm,ulitaka fanye kinyuma na makubalino ya chama chake?

Msimtwishe zigo lote pekeyake umesikia wapi chama kikimkataa kwa mambo yote yanayoendele?
Magufuli tulimtwisha mamizigo yote ikiwemo ya watu kupotea! Hatukuitwisha ccm!

Acha huyu mamako avune alichopanda
 
ccm wote wamekubaliana kabla ya mama kuangua sahihi,wabunge kama wangekataa huu mkataba ungepitaje?
Wangekaataje wakati rais ameshatia saini ndio ukaenda bungeni?

Uliona wapi mkataba unaenda kujadiliwa baada ya kupitishwa na rais?
 
FAKE NEWS nyingine ni hii hapa, upotoshaji mwingine ni huu hapa.

TICTS amekuwa bandarini tangu 2000 ina maana sheria hii haijauhusu uwekezaji wake ni mpaka kipindi hiki cha DPW ndio sheria ya maliasili ije kupata nguvu?.

Tuna safari ndefu sana ya kitaifa.
 
Wangekaataje wakati rais ameshatia saini ndio ukaenda bungeni?

Uliona wapi mkataba unaenda kujadiliwa baada ya kupitishwa na rais?
Kwani kupitishwa na Rais ni sababu ya bunge kupitisha? Unawezaje kuitenga ccm na uzwaji wa nchi?
 
Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
We chawa soma mpaka mwisho acha kukurupuka wakati Mwamvua na wandani wake wanakula mema ya nchi wewe unaoambania maisha yako wala hakuna anayekujua
 
Huu ni uhaini.

Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?

Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Hapa ni JWTZ kumwamuru Bi.Mchele akae pembeni,piga pini JK na RA.Mpango aapishwe mpaka 2025.Ikifika 2025 Mwinyi atolewe Zanzibar aletwe serikali ya Muungano-until further notice.
 
Hapa ni JWTZ kumwamuru Bi.Mchele akae pembeni,piga pini JK na RA.Mpango aapishwe mpaka 2025.Ikifika 2025 Mwinyi atolewe Zanzibar aletwe serikali ya Muungano-until further notice.
Lissu aingi ikulu kwa kindi cha mpito hadi uchaguzi.
 
Huu mchezo unachezwa na Mfalme wa Msoga na yule aliyekashifu Mahakama.
 
"sina cha kusema wanangu mi naziba masikio nachapa kazi " mama wa kwenye ya kanga
 
Samahani mkuu, nilitaka kupita kimya kimya. Ikashindikana.

Kwa haya tunayoyaona sasa, sina pingamizi lolote na lile wazo "pendwa" hata kidogo.
Ni matumaini yangu kuwa hawa wakiendelea kwa mwendo huu, bila shaka tutalifanya hili.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa si bunge litajadili na kufikia maamuzi?
Mimi nadhani ni sawa tuu.
kwa vile Tanzania ni nchi ya Kijamaa, lazima Ibadili mfumo ili iweze kuodowa uwezekanowa Muekezaji kutaifisha Rasilimal zake na kufilisiwa kama alivyofanya Nyerewre na hatimae kulitia taifa Utumwani ,Utumwa wa kudumu wa kulipa Hasara ya mali za watu.
Futeni neno TANZANIA INAFUATA MFUMO SIASA YA WA UJAMAA KUENDESHA NCHI.
HILI NI TATIZO, HAKUNA ANAYETUAMINI.
MUEKEZAJI SEROUS LAZIMA ALAZIMISHE KUWEPO KWA SHERIA ZINAZO LINDA MASLAHI YAKE .

KWA HIYO MAMA YUKO SAHIHI.
UJAMAA BYE BYE.
MIKATABA NA MAKANISA KUPITISHA MAKONTAINA BURE BYE BYE.
KUTOWA MAKONTENA KWA VIMEMO BYE BYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…