The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Hapo sasa. Watu wanadai Maza asilauniwe..... Kumbe ndiye kinara wa mchezo wote.Sikio la Kufa hua halisikii dawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa. Watu wanadai Maza asilauniwe..... Kumbe ndiye kinara wa mchezo wote.Sikio la Kufa hua halisikii dawa...
Kwa nini asilaumiwe wakati mkataba una signature yake?Hapo sasa. Watu wanadai Maza asilauniwe..... Kumbe ndiye kinara wa mchezo wote.
ccm wote wamekubaliana kabla ya mama kuangua sahihi,wabunge kama wangekataa huu mkataba ungepitaje?Kwa nini asilaumiwe wakati mkataba una signature yake?
Yeye mwenyewe kaanguka saini pale halafu asilaumiwe?
Usimuite mama, mama hawezi kuuza watoto wake. Mama halisi tuko tayari kupambana na mbwa mwitu kuokoa wanawe. Huyu hajali!ccm wote wamekubaliana kabla ya mama kuangua sahihi,wabunge kama wangekataa huu mkataba ungepitaje?
Hapo unakosea mama atabaki kuwa mama yeye kaajirawa na ccm,ulitaka fanye kinyuma na makubalino ya chama chake?Usimuite mama, mama hawezi kuuza watoto wake. Mama halisi tuko tayari kupambana na mbwa mwitu kuokoa wanawe. Huyu hajali!
Huyu ni rais asiyejua nini nguvu ya kiti cha urais inavyoweza kupeleka wananchi utumwani pindi akikosa umakini.
Magufuli tulimtwisha mamizigo yote ikiwemo ya watu kupotea! Hatukuitwisha ccm!Hapo unakosea mama atabaki kuwa mama yeye kaajirawa na ccm,ulitaka fanye kinyuma na makubalino ya chama chake?
Msimtwishe zigo lote pekeyake umesikia wapi chama kikimkataa kwa mambo yote yanayoendele?
Wangekaataje wakati rais ameshatia saini ndio ukaenda bungeni?ccm wote wamekubaliana kabla ya mama kuangua sahihi,wabunge kama wangekataa huu mkataba ungepitaje?
FAKE NEWS nyingine ni hii hapa, upotoshaji mwingine ni huu hapa.View attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya Kwanza tr. 28 June 2023. Kamati ya Utawala Katiba na Sheria itauchambua kwenye vikao vya Kamati Mwezi wa Nane (Kuanzia 14 August).
Muswada huu unapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria Tano ikiwemo :
1. Sheria ya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam, Sura ya 253;
2. Sheria ya Mamlaka ya Nchi
Kuhusiana na Umiliki wa Mali na Rasilimali Asilia, Sura ya 449;
3. Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusu Utajiri na Maliasilia za Nchi (Mapitio ya
Mikataba na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi), Sura ya 450 na
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? 🤣
#TutaelewanaTu lakini
=============
Taarifa hii ni kwa Kwa mujibu wa Muswada wa Marebisho ya Sheria Mbalimbali No. 2 wa mwaka 2023 uliosomwa kwa mara kwanza Bungeni Dodoma, Juni 28, 2023.
Muswada huo unapendekeza kutotumika kwa Sheria mbili zilizopitishwa na Bunge mwaka 2017 kwa madhumuni ya Kulinda Rasilimali zote za Tanzania katika Miradi ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari endapo itakuwa imesharidhiwa na Baraza la Mawaziri.
Katika mapendekezo ya mabadiliko hayo, Muswada unataka Sheria hizi zisitumike ili kuwezesha Bandari za Tanzania zifanye kazi kwa Viwango vya Kimataifa zikipata Meli kubwa za Mizigo mikubwa.
Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
Sheria inaweka bayana kuwa Maliasili ni mali ya Watanzania na zinasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba yao.
Inaeleza kuwa Mikataba yote ya Uwekezaji katika Maliasili inatakiwa kuidhiniswa na Bunge.
Sheria inaweka wazi kuwa makubaliano yoyote ya Uwekezaji lazima yazingatie Uhuru na Haki ya Umiliki wa Watanzania juu ya Maliasili yao.
Inazuia utoroshaji wa Fedha zinazopatikana katika Uwekezaji wa Maliasili.
Sheria ya Mapitia na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Mikataba ya Maliasili za Nchi. The Natural Wealth and Resorces Contracts (Review and Re-negotiations of Unconscionable Terms) Act, 2027
Sheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
Kwani kupitishwa na Rais ni sababu ya bunge kupitisha? Unawezaje kuitenga ccm na uzwaji wa nchi?Wangekaataje wakati rais ameshatia saini ndio ukaenda bungeni?
Uliona wapi mkataba unaenda kujadiliwa baada ya kupitishwa na rais?
We chawa soma mpaka mwisho acha kukurupuka wakati Mwamvua na wandani wake wanakula mema ya nchi wewe unaoambania maisha yako wala hakuna anayekujuaHilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
Hakika. Tunakoelelea siko kabisaBila nguvu ya umma huyu mama atatuuza.
Hapa ni JWTZ kumwamuru Bi.Mchele akae pembeni,piga pini JK na RA.Mpango aapishwe mpaka 2025.Ikifika 2025 Mwinyi atolewe Zanzibar aletwe serikali ya Muungano-until further notice.Huu ni uhaini.
Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?
Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Lissu aingi ikulu kwa kindi cha mpito hadi uchaguzi.Hapa ni JWTZ kumwamuru Bi.Mchele akae pembeni,piga pini JK na RA.Mpango aapishwe mpaka 2025.Ikifika 2025 Mwinyi atolewe Zanzibar aletwe serikali ya Muungano-until further notice.
Huu mchezo unachezwa na Mfalme wa Msoga na yule aliyekashifu Mahakama.Nachojiuliza, hata kama ni jema, kwani Samia ana haraka gani?!
Mbona model yake ya uongozi, haitaki muda wa kuwaelewesha watu wake?!
Mfano, kwa nini asiandae na kupokea maoni kwanza kwa mambo makubwa kama haya.
Mbona mengine anaunda Tume mbalimbali.
Kweli Samia ana kibri namna hii
Mama anaupigwa mwingi Choir!Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? [emoji1787]
#TutaelewanaTu lakini[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Samahani mkuu, nilitaka kupita kimya kimya. Ikashindikana.
Kwa haya tunayoyaona sasa, sina pingamizi lolote na lile wazo "pendwa" hata kidogo.
Ni matumaini yangu kuwa hawa wakiendelea kwa mwendo huu, bila shaka tutalifanya hili.
Sasa si bunge litajadili na kufikia maamuzi?View attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya Kwanza tr. 28 June 2023. Kamati ya Utawala Katiba na Sheria itauchambua kwenye vikao vya Kamati Mwezi wa Nane (Kuanzia 14 August).
Muswada huu unapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria Tano ikiwemo :
1. Sheria ya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam, Sura ya 253;
2. Sheria ya Mamlaka ya Nchi
Kuhusiana na Umiliki wa Mali na Rasilimali Asilia, Sura ya 449;
3. Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusu Utajiri na Maliasilia za Nchi (Mapitio ya
Mikataba na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi), Sura ya 450 na
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? 🤣
#TutaelewanaTu lakini
=============
Taarifa hii ni kwa Kwa mujibu wa Muswada wa Marebisho ya Sheria Mbalimbali No. 2 wa mwaka 2023 uliosomwa kwa mara kwanza Bungeni Dodoma, Juni 28, 2023.
Muswada huo unapendekeza kutotumika kwa Sheria mbili zilizopitishwa na Bunge mwaka 2017 kwa madhumuni ya Kulinda Rasilimali zote za Tanzania katika Miradi ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari endapo itakuwa imesharidhiwa na Baraza la Mawaziri.
Katika mapendekezo ya mabadiliko hayo, Muswada unataka Sheria hizi zisitumike ili kuwezesha Bandari za Tanzania zifanye kazi kwa Viwango vya Kimataifa zikipata Meli kubwa za Mizigo mikubwa.
Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
Sheria inaweka bayana kuwa Maliasili ni mali ya Watanzania na zinasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba yao.
Inaeleza kuwa Mikataba yote ya Uwekezaji katika Maliasili inatakiwa kuidhiniswa na Bunge.
Sheria inaweka wazi kuwa makubaliano yoyote ya Uwekezaji lazima yazingatie Uhuru na Haki ya Umiliki wa Watanzania juu ya Maliasili yao.
Inazuia utoroshaji wa Fedha zinazopatikana katika Uwekezaji wa Maliasili.
Sheria ya Mapitia na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Mikataba ya Maliasili za Nchi. The Natural Wealth and Resorces Contracts (Review and Re-negotiations of Unconscionable Terms) Act, 2027
Sheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
Serikali haipoi, yapeleka Muswada Bungeni kubadilisha Sheria ya rasilimali za Taifa
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa sheria mpya bungeni itakayobadilisha umiliki wa rasilimali za taifa na kuwa mali halali ya muwekezaji. Sheria ya rasilimali ya taifa ya sasa inatamka rasilimali za taifa ni mali za watanzania na hairuhusiwi mwekezaji kutoka nje kumiliki aridhi ila...www.jamiiforums.com
Mara ya ngapiBila nguvu ya umma huyu mama atatuuza.