Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
This is Treason...
Treason? Is more than that
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is Treason...
Wewe ni mjinga..!Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
Kinachoshangaza hasa ni kuwa wala hatoi jasho kuyafanya madudu yote haya!Sikuwahi kuwaza kuwa Samia ana kiburi namna hii.
Yuko insensitive kabisa na kitendo hiki kibaya kabisa anachokifanya!
Kwa kweli hii ni zaidi ya dharau kwa umma.
Kwa hiyo tusubiri wapitishe kwanza ndio tu deal nao?. To me that's wrong idea
Atuuze mara 2?Bila nguvu ya umma huyu mama atatuuza.
Kwa hali hii iliyopo sasa, nadharia hii inapata mashiko sana; hata kama siyo kweli.Pombe haikumwagika yenyewe kwa bahati mbaya,ilimwagwa kwa maksudi mazima.
Samahani mkuu, nilitaka kupita kimya kimya. Ikashindikana.Atuuze mara 2?
Duu CCM bana, wanazidi kutengeneza mabomu ambayo yatawalipukia wenyewe na hatimaye nchi nzima From uncertainty to uncertainty inherentView attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya Kwanza tr. 28 June 2023. Kamati ya Utawala Katiba na Sheria itauchambua kwenye vikao vya Kamati Mwezi wa Nane (Kuanzia 14 August).
Muswada huu unapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria Tano ikiwemo :
1. Sheria ya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam, Sura ya 253;
2. Sheria ya Mamlaka ya Nchi
Kuhusiana na Umiliki wa Mali na Rasilimali Asilia, Sura ya 449;
3. Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusu Utajiri na Maliasilia za Nchi (Mapitio ya
Mikataba na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi), Sura ya 450 na
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? 🤣
#TutaelewanaTu lakini
=============
Taarifa hii ni kwa Kwa mujibu wa Muswada wa Marebisho ya Sheria Mbalimbali No. 2 wa mwaka 2023 uliosomwa kwa mara kwanza Bungeni Dodoma, Juni 28, 2023.
Muswada huo unapendekeza kutotumika kwa Sheria mbili zilizopitishwa na Bunge mwaka 2017 kwa madhumuni ya Kulinda Rasilimali zote za Tanzania katika Miradi ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari endapo itakuwa imesharidhiwa na Baraza la Mawaziri.
Katika mapendekezo ya mabadiliko hayo, Muswada unataka Sheria hizi zisitumike ili kuwezesha Bandari za Tanzania zifanye kazi kwa Viwango vya Kimataifa zikipata Meli kubwa za Mizigo mikubwa.
Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
Sheria inaweka bayana kuwa Maliasili ni mali ya Watanzania na zinasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba yao.
Inaeleza kuwa Mikataba yote ya Uwekezaji katika Maliasili inatakiwa kuidhiniswa na Bunge.
Sheria inaweka wazi kuwa makubaliano yoyote ya Uwekezaji lazima yazingatie Uhuru na Haki ya Umiliki wa Watanzania juu ya Maliasili yao.
Inazuia utoroshaji wa Fedha zinazopatikana katika Uwekezaji wa Maliasili.
Sheria ya Mapitia na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Mikataba ya Maliasili za Nchi. The Natural Wealth and Resorces Contracts (Review and Re-negotiations of Unconscionable Terms) Act, 2027
Sheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
Hafu msoga alikuwa anatusubiri hasa kwenye issue ya bandari iliyomponyoka mara ya Kwanza.Msoga tatizo kubwa zaidi, fungukeni, huyu maza hana shingo ngumu kiasi hiki
Haswa.Hafu msoga alikuwa anatusubiri hasa kwenye issue ya bandari iliyomponyoka mara ya Kwanza.
Ikitokea kuwepo na 'Firing squad' baada ya yote haya, ningependekeza kuanza na watu kama Kabouti Kalamagamba, na yule chifu wa Magufuli (Katibu Mkuu Kiongozi).Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Wewe kweli ni wa kukurupuka.Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
Wenye nchi wameshaamua kufanya watakalo na hamna cha kufanya.View attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya Kwanza tr. 28 June 2023. Kamati ya Utawala Katiba na Sheria itauchambua kwenye vikao vya Kamati Mwezi wa Nane (Kuanzia 14 August).
Muswada huu unapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria Tano ikiwemo :
1. Sheria ya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam, Sura ya 253;
2. Sheria ya Mamlaka ya Nchi
Kuhusiana na Umiliki wa Mali na Rasilimali Asilia, Sura ya 449;
3. Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusu Utajiri na Maliasilia za Nchi (Mapitio ya
Mikataba na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi), Sura ya 450 na
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? 🤣
#TutaelewanaTu lakini
=============
Taarifa hii ni kwa Kwa mujibu wa Muswada wa Marebisho ya Sheria Mbalimbali No. 2 wa mwaka 2023 uliosomwa kwa mara kwanza Bungeni Dodoma, Juni 28, 2023.
Muswada huo unapendekeza kutotumika kwa Sheria mbili zilizopitishwa na Bunge mwaka 2017 kwa madhumuni ya Kulinda Rasilimali zote za Tanzania katika Miradi ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari endapo itakuwa imesharidhiwa na Baraza la Mawaziri.
Katika mapendekezo ya mabadiliko hayo, Muswada unataka Sheria hizi zisitumike ili kuwezesha Bandari za Tanzania zifanye kazi kwa Viwango vya Kimataifa zikipata Meli kubwa za Mizigo mikubwa.
Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
Sheria inaweka bayana kuwa Maliasili ni mali ya Watanzania na zinasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba yao.
Inaeleza kuwa Mikataba yote ya Uwekezaji katika Maliasili inatakiwa kuidhiniswa na Bunge.
Sheria inaweka wazi kuwa makubaliano yoyote ya Uwekezaji lazima yazingatie Uhuru na Haki ya Umiliki wa Watanzania juu ya Maliasili yao.
Inazuia utoroshaji wa Fedha zinazopatikana katika Uwekezaji wa Maliasili.
Sheria ya Mapitia na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Mikataba ya Maliasili za Nchi. The Natural Wealth and Resorces Contracts (Review and Re-negotiations of Unconscionable Terms) Act, 2027
Sheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
Mzee msitaafu, nchi inakuwa kwenye tension yeye kapiga kimya.Haswa.
Ndio maana ninasisitiza kuwa hii ishu ya bandari mastermind wake ni Msoga kwani alianza kitambo akiwa madarakani.
Ilikuwa Bagamoyo na sasa ni kitovuni
Kwenye ishu ya bagamoyo port.Hafu msoga alikuwa anatusubiri hasa kwenye issue ya bandari iliyomponyoka mara ya Kwanza.
Dawa ni kukusanyika hayo maeneo ya bungeBila nguvu ya umma huyu mama atatuuza.
Ndo ujue mkuu nchi haina watu bali wachunia tumboIkitokea kuwepo na 'Firing squad' baada ya yote haya, ningependekeza kuanza na watu kama Kabouti Kalamagamba, na yule chifu wa Magufuli (Katibu Mkuu Kiongozi).
Hawa watu kukaa Bungeni na kuwa kama masanamu ni uhaini wa hali ya juu sana kuwahi kutokea.
'Sedition' ......Huu ni uhaini.
Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?
Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?