Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo pesa za kuwalipa zinatoka wapi mkataba ukivunjwa,huu ni ujinga labda tumuweke Tundu Lissu ikulu atusaidie kupiga mnada mali za ccm tuwalipe.Mkuu CWR2016
Umeeleza vyema kabisa.
Hili suala la BANDARI ninakuhakikishia ni jambo ambalo lonaenda kutuunganisha wa Bara.
Leo hii ccm na upinzani na wanasheria wanaongea lugha moja mkuu hii haijawahi kutokea.
Ninakuhakikishia kuna kitu kizito kinakuja na si muda mrefu.
Ni bora uvunjwe huu mkataba tuwalipe matrilioni kuliko mkataba huu kuendelea.
Ninahisi hasira sana katika hili.
Unataka Jeshi lifanye nini? Mutiny?Huu ni uhaini.
Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?
Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Hawa majambazi wametuweka kona mbaya sanaHizo pesa za kuwalipa zinatoka wapi mkataba ukivunjwa,huu ni ujinga labda tumuweke Tundu Lissu ikulu atusaidie kupiga mnada mali za ccm tuwalipe.
Sasa majenerali wetu na wanasiasa ni damudamu utafikiri watafanya nini?Huu ni uhaini.
Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?
Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Bro, kuna kitu hujakisoma vizuri. Inshu iliyopo hapo ni kitu ambacho hakizungumzwi kabisaa...."Muungano".Sikuwahi kuwaza kuwa Samia ana kiburi namna hii.
Yuko insensitive kabisa na kitendo hiki kibaya kabisa anachokifanya!
Kwa kweli hii ni zaidi ya dharau kwa umma.
Wafadhili wake waliomuweka naona wamemshikia chini...huyu mama anaweza hata kudondoka kwa kihoroSikuwahi kuwaza kuwa Samia ana kiburi namna hii.
Yuko insensitive kabisa na kitendo hiki kibaya kabisa anachokifanya!
Kwa kweli hii ni zaidi ya dharau kwa umma.
Oooh thanksWengi tu.
Ndio maana wamevujisha mkataba huu
Tundu njia nyeupe ikulu. He just need to be more smarterHizo pesa za kuwalipa zinatoka wapi mkataba ukivunjwa,huu ni ujinga labda tumuweke Tundu Lissu ikulu atusaidie kupiga mnada mali za ccm tuwalipe.
View attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Unajua maana ya kusomwa mara ya Kwanza wewe mkurupuKaji? Umeambiwa sheria imesomwa bungeni Kwa mara ya kwanza kwenye Bunge la bajeti unatakaje zaidi?Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
Wacha kutulisha maneno yako, weka hayo mabadiliko yanayotakiwa yabadilishwe. Mbona umetaja vifungu ukaweka porojo zako badala ya hayo ya muswaa sasa hivi yako vipi na mapendekezo yatayobadilishwwa yako hivi. Sijaona..View attachment 2678469
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya Kwanza tr. 28 June 2023. Kamati ya Utawala Katiba na Sheria itauchambua kwenye vikao vya Kamati Mwezi wa Nane (Kuanzia 14 August).
Muswada huu unapendekeza kufanya marekebisho katika Sheria Tano ikiwemo :
1. Sheria ya Chuo cha
Bahari Dar es Salaam, Sura ya 253;
2. Sheria ya Mamlaka ya Nchi
Kuhusiana na Umiliki wa Mali na Rasilimali Asilia, Sura ya 449;
3. Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusu Utajiri na Maliasilia za Nchi (Mapitio ya
Mikataba na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi), Sura ya 450 na
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? 🤣
#TutaelewanaTu lakini
=============
Taarifa hii ni kwa Kwa mujibu wa Muswada wa Marebisho ya Sheria Mbalimbali No. 2 wa mwaka 2023 uliosomwa kwa mara kwanza Bungeni Dodoma, Juni 28, 2023.
Muswada huo unapendekeza kutotumika kwa Sheria mbili zilizopitishwa na Bunge mwaka 2017 kwa madhumuni ya Kulinda Rasilimali zote za Tanzania katika Miradi ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari endapo itakuwa imesharidhiwa na Baraza la Mawaziri.
Katika mapendekezo ya mabadiliko hayo, Muswada unataka Sheria hizi zisitumike ili kuwezesha Bandari za Tanzania zifanye kazi kwa Viwango vya Kimataifa zikipata Meli kubwa za Mizigo mikubwa.
Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili. The Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignity) Act, 2017
Sheria inaweka bayana kuwa Maliasili ni mali ya Watanzania na zinasimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa niaba yao.
Inaeleza kuwa Mikataba yote ya Uwekezaji katika Maliasili inatakiwa kuidhiniswa na Bunge.
Sheria inaweka wazi kuwa makubaliano yoyote ya Uwekezaji lazima yazingatie Uhuru na Haki ya Umiliki wa Watanzania juu ya Maliasili yao.
Inazuia utoroshaji wa Fedha zinazopatikana katika Uwekezaji wa Maliasili.
Sheria ya Mapitia na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Mikataba ya Maliasili za Nchi. The Natural Wealth and Resorces Contracts (Review and Re-negotiations of Unconscionable Terms) Act, 2027
Sheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Sheria hii kwa kupitia vifungu vyake inaweza vigezo kuwa Serikali inaweza kupitia upya Mikataba na Makubaliano ambayo hayana Maslahi kwa Taifa.
Wabunge wote ni kinyesi tuSheria inalipa Nguvu Bunge kupitia Mikataba yote inayoingiwa na Serikali kuhusiana na Maliasili za Tanzania.
Mkataba wa DP WORLD na TPA uko wapi?Uchumi wa tanzania unachangiwa asilimia kubwa na mapato yatokana na revenue za bandari , approximate zaidi ya asilimia 40 , nazani ....
TICTS co. Walikuwepo for 26 years and they left ..sasa hii DP world inataka ipewe for indifinitely time pamoja na ku meet their contractual demands like TAX free , free to monitor all economic sector in the country ....
huku sisi tukipapaswa mikodi kama yote.....mpaka. Hela ya kula kesho inalipia kodi ili ku meet government expenses or public costs....
Sasa hii kiti kumpa mtu mmoja for indifinitely period .....afuu dahhh
Siku nikisikia Huyu mtu akitoka ofisini. Na kusema ""nimejiuzulu nafasi hii ya uraisi"" nchi italipuks kwa shangwe mnoooo
Waulize nduguzo!! Sisi hatujuiMkataba wa DP WORLD na TPA uko wapi?
shida sio mkataba (contract) bali. Yaliyomo ndani humo ndani ndani bibi elewa elewa elewaaaa ,,,, maneno yaliyo tumika ni kama tumefanywa double standards , kwamba ikitokea material breach hakuna kuvunja mkataba bali utaendelea tuuu , without any legal actions ????Mkataba wa DP WORLD na TPA uko wapi?
Kama hujui kusoma acha walioelewa wachangie umeambiwa bunge litakaa August. Usijitoe ufahamu kwa kutetea waarabu.Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.