Serikali imeshikwa pabaya!! Ndani ya wiki moja, Mwigulu amelazimika kuhutubia katika ngome za Lissu na Heche

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.

Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.

..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.

..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?

..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?

..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
 
Ila chadema ndani ya wiki mlivyozumguka mikoa kadhaa hamjakwama?!!!!🤣🤣🤣

..serikali inaogopa kuwaacha Chadema wazunguke nchi nzima.

..Na kila mbinu na hila inayotumiwa na serikali inazidi kuwaharibia na kuwaweka ktk nafasi mbaya.

..kwa mfano, wakati serikali inamkamata Tundu Lissu, ilikuwa haijachafua na kujiloweka ktk damu za watu wasio na hatia iliyowauwa OCT 29.

..badala ya kuendekeza hila, ukatili, na udhalimu, serikali na CCM wanapaswa kutafuta namna ya kujinasua toka ktk mduara huo.

..wana CCM wazalendo wenye mapenzi mema na Tanzania wanapaswa kuwakataa waliokifikisha chama na nchi hapa tulipo.

..CCM wakiendelea kwa mtindo huu wanaweza kujikuta wamefanya jambo baya kuliko yaliyotokea OCT 29.
 
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.

Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.

..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.

..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?

..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?

..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
kuna mambo nonsense sana jukwaani dah :pedroP:

athari za kususia uchaguzi zinaweza kupasua mioyo ya watu
 
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.

Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.

..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.

..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?

..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?

..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Tishio la maandamano ya wanaharakati ndio sababu ya yote hayo.
 
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.

Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.

..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.

..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?

..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?

..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Lisu amebambikiwa kesi tangu mwaka jana.
Na kwa sasa yeye ni mwenyekiti wa Chadema taifa.
Hizo habari za Lissu kuwa na kambi umezitoa wap?
 
..Ikungi Singida ndiko alikozaliwa Tundu Lissu, na alikohudumu kama mbunge.

..Na Nyamongo iko Tarime ambako John Heche aliwahi kuhudumu kama mbunge.

..baada ya katazo la mikutano Waziri Mkuu amekwenda huko na kufanya mikutano.
 
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.

Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.

..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.

..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?

..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?

..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Hizo sehemu zote ni za Tanzania na anawatahadhalisha kuwa Serikali ipo.
 
Ukimsikikiza Heche katika mikutano yake unapata darasa qmbalo huwezi ukalipata kokote. Serikali imeishiwa mikakati hata wakizungumza hakuna anayeweka utayari wa kuwasikiliza.
 
Back
Top Bottom