Ila chadema ndani ya wiki mlivyozumguka mikoa kadhaa hamjakwama?!!!!🤣🤣🤣
kuna mambo nonsense sana jukwaani dahHakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.
Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.
..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.
..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?
..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?
..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Tishio la maandamano ya wanaharakati ndio sababu ya yote hayo.Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.
Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.
..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.
..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?
..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?
..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Lisu amebambikiwa kesi tangu mwaka jana.Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.
Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo.
..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano aliyokuwa akifanya John Heche.
..Je, Mwigulu anaogopa kufanya mikutano huku Heche naye akifanya ya kwake?
..Je, ili mikutano ya Mwigulu ifanikiwe, na hoja zake zikubalike, ni lazima Chadema au John Heche wawe wamefungiwa?
..Kwa maoni yangu, walichokipanga Mwigulu na washauri wake kime backfire.
Lisu amebambikiwa kesi tangu mwaka jana.
Na kwa sasa yeye ni mwenyekiti wa Chadema taifa.
Hizo habari za Lissu kuwa na kambi umezitoa wap?
Haya ndio yaliyo uwa watu 29 hayakuna mambo nonsense sana jukwaani dah
athari za kususia uchaguzi zinaweza kupasua mioyo ya watu
Tishio la maandamano ya wanaharakati ndio sababu ya yote hayo.
Hizo sehemu zote ni za Tanzania na anawatahadhalisha kuwa Serikali ipo.Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya.