Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

Alafu kuna watanzania,kwa ujinga tu,wanataka upinzani ufe!!!
Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.

Lakini 'umangungo' uliomo kwenye vyama karibu vyote vya upinzani vya Tz hivi sasa, upinzani umefubaa na kutukatisha tamaa wapenzi na wafuasi wake.

Tuseme bila kumumunya maneno, ni chama gani cha upinzani kwa jina kinachotufaa ili tukipatie 'kula' zetu?
 
Ili upinzani usifubae ulitakiwa ufanye nini mkuu?
 
Ws geuze kwa faida wangerudia tena biashara, sasa hivi waisikia korosho ni kama wameneza makaa ya moto
Kabisa, na serikali ingetangaza rasmi kupiga marufuku wanunuzi binafsi! Magu hadi kesho anaziota zile bilion 400 ambazo walizitia kibindoni msimu wa 2018/2019; wakajua kuna pesa hapa!!!
 
Ili upinzani usifubae ulitakiwa ufanye nini mkuu?
Vipatikane vichwa kama kina dr 'mihogo' enzi zao zile.

Lakini upinzani wa kina Mbowe and the like unaotengenezeana vurugu za ndani za wao kwa wao ndani ya chama na kisha wanachama kukikimbia, mimi haunifurahishi.
 
Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.

Lakini 'umangungo' uliomo kwenye vyama karibu vyote vya upinzani vya Tz hivi sasa, upinzani umefubaa na kutukatisha tamaa wapenzi na wafuasi wake.

Tuseme bila kumumunya maneno, ni chama gani cha upinzani kwa jina kinachotufaa ili tukipatie 'kula' zetu?
Wewe baki huko huko CCM upate kula na uwape kula yako.
Upinzani wetu umehujumiwa mno na CCm,wala hakuna wa kulaumiwa miongoni mwetuy,sasa kazi kwetu kuunganisha mbao ili safari iendelee.
Kamwe Hatutorudi Nyuma.
Karibu Membe,karibu Nape karibuni wote wenye kulemewa na Mauza uza ya CCM.
ACT wazalendo ni chama chenu mbadala, Chadema ni chama chenu mbadala,
 
Hivi hadi leo korosho hazijaisha kulipwa...poleni wakulima wa korosho.
 
Wewe baki huko huko CCM upate kula na uwape kula yako.
Upinzani wetu umehujumiwa mno na CCm,wala hakuna wa kulaumiwa miongoni mwetuy,sasa kazi kwetu kuunganisha mbao ili safari iendelee.
Kamwe Hatutorudi Nyuma.
Karibu Membe,karibu Nape karibuni wote wenye kulemewa na Mauza uza ya CCM.
ACT wazalendo ni chama chenu mbadala, Chadema ni chama chenu mbadala,
Mkuu hata unakodhania sipo.

Ulipo wewe nilikuwepo ila mizengwe inayotengenezwa makusudi na viongozi wenu imebidi nijiondoe nisije nikajisababishia presha bure!

Yuko wapi dr mihogo mwenye sera za upinzani za kweli?
 
Back
Top Bottom