Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.Alafu kuna watanzania,kwa ujinga tu,wanataka upinzani ufe!!!
Lakini 'umangungo' uliomo kwenye vyama karibu vyote vya upinzani vya Tz hivi sasa, upinzani umefubaa na kutukatisha tamaa wapenzi na wafuasi wake.
Tuseme bila kumumunya maneno, ni chama gani cha upinzani kwa jina kinachotufaa ili tukipatie 'kula' zetu?