Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.Alafu kuna watanzania,kwa ujinga tu,wanataka upinzani ufe!!!
Ili upinzani usifubae ulitakiwa ufanye nini mkuu?Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.
Lakini 'umangungo' uliomo kwenye vyama karibu vyote vya upinzani vya Tz hivi sasa, upinzani umefubaa na kutukatisha tamaa wapenzi na wafuasi wake.
Tuseme bila kumumunya maneno, ni chama gani cha upinzani kwa jina kinachotufaa ili tukipatie 'kula' zetu?
Kabisa, na serikali ingetangaza rasmi kupiga marufuku wanunuzi binafsi! Magu hadi kesho anaziota zile bilion 400 ambazo walizitia kibindoni msimu wa 2018/2019; wakajua kuna pesa hapa!!!Ws geuze kwa faida wangerudia tena biashara, sasa hivi waisikia korosho ni kama wameneza makaa ya moto
Vipatikane vichwa kama kina dr 'mihogo' enzi zao zile.Ili upinzani usifubae ulitakiwa ufanye nini mkuu?
Wewe baki huko huko CCM upate kula na uwape kula yako.Upinzani ni mtamu sana kwa tafsiri yake.
Lakini 'umangungo' uliomo kwenye vyama karibu vyote vya upinzani vya Tz hivi sasa, upinzani umefubaa na kutukatisha tamaa wapenzi na wafuasi wake.
Tuseme bila kumumunya maneno, ni chama gani cha upinzani kwa jina kinachotufaa ili tukipatie 'kula' zetu?
Mkuu hata unakodhania sipo.Wewe baki huko huko CCM upate kula na uwape kula yako.
Upinzani wetu umehujumiwa mno na CCm,wala hakuna wa kulaumiwa miongoni mwetuy,sasa kazi kwetu kuunganisha mbao ili safari iendelee.
Kamwe Hatutorudi Nyuma.
Karibu Membe,karibu Nape karibuni wote wenye kulemewa na Mauza uza ya CCM.
ACT wazalendo ni chama chenu mbadala, Chadema ni chama chenu mbadala,