Serikali imetosheka na walimu wa arts hawaitajiki tena

Serikali imetosheka na walimu wa arts hawaitajiki tena

attention to incompetent teachers. those who are still in colleges make sure
1. you get good GPA
2. you can apply what you learnt (competent).
otherwise ........
 
Katika hotuba ya kufunga mwaka Mh.Jk amesema kabisa kwa sada Serikal haiitaji walimu wa arts wametosha mwaka jana wanaitajika walimu wa sanayansi tuuu kwaiyo kwa wale waluosoma UALIMU na wanaosoma Mpka sasa ualimu wa masomo ya Arts wajue kabisaa Ajira hakuna tena nadhan sasa hari utazidi kua ngumu sana mtu atajuta kwann hakusoma hata shortcourse akawa kwenye system kwanza ndio akajiendeleza,pia wale ambao waliacha kusoma course walizopenda tangu utotoni kwakujua kua ukisoma Education ajira ni direct imekura kwao na ualimu wenyewe kauna direct employment sasa bora hata ungesoma ile ile LAW uliyopenda tu na Nadhani sasa vyuo vya ualimu visivyotoa masomo ya sanyansi hasa vya privet vitakufa maana vitakosa wateja hasa vya diproma.
Kazi kweli kweli

Kwani munasoma mupate ajira au mujiajiri? Hivi kwa nini wasomi wa Afrika hatupendi kujibeba?

Ipo haja ya kuwatoa trip wanafunzi wa vyuo vikuu kuja nchi za ulaya na Asia kuona wenzao ma professa walivyo jiajiri na mabilionea
 
Hv unajua watqnzania wanao soma viuo vya ndan wanakipato kipi kutokana na background ya familia zao how dare u unazungumzia kujiajili wakati hata kupata mtaji wa 50000 kazi alafu unazungumzia ulaya ulaya acha kuudhi watu kama wewe uliwezeshwa na familia yako unadhan wote wanaweza
 
Msipotuajiri mjiandae kupokea mashoka ya utosi na roba za mbao huku mtaani kwetu
 
Hivi nyie walimu kwa nini mnapenda sana serikalini badala ya private schools? ningesomaga ualimu ningeendaga Laureate International School kufundisha sio mnaendekeza ulele mama

Naajiriwa na serikali ya TZ, we unataka niajiriwe na haedmaster?
 
Hahahahahahaha we jamaa umemjibu ki nishai sana

Haha ha mkuu, kuna watu ye kazi yake kuropoka tu, bila kufanya utafiti, off cause watu ukimbilia ajira za serikal ujue hata uko private kakosa! siku iz ajira ngumu private manyanyaso nao undugu umeanza kutawala! seminary siku iz wanasomesha mapadri na masister kwa wingi wakafundishe shule zao! shule za makanisa na misikiti wanawataka watu wao yaan udin umeanza tawala sasa kwa mim mpagan nisiye na ndugu mwenye shule ntaenda wapi kama si serikalini. ajira ni ngumu afu ujue serikali ni WEWE MWENYEWE NDO MAANA PESA ZA SERIKALI ZINALIWA BILA WASIWASI, IVYO KUAJIRIWA SERIKALINI NI SAWA NA UMEJIAJIRI MWENYEWE over..
 
umena mkuu
 
Back
Top Bottom