Haha ha mkuu, kuna watu ye kazi yake kuropoka tu, bila kufanya utafiti, off cause watu ukimbilia ajira za serikal ujue hata uko private kakosa! siku iz ajira ngumu private manyanyaso nao undugu umeanza kutawala! seminary siku iz wanasomesha mapadri na masister kwa wingi wakafundishe shule zao! shule za makanisa na misikiti wanawataka watu wao yaan udin umeanza tawala sasa kwa mim mpagan nisiye na ndugu mwenye shule ntaenda wapi kama si serikalini. ajira ni ngumu afu ujue serikali ni WEWE MWENYEWE NDO MAANA PESA ZA SERIKALI ZINALIWA BILA WASIWASI, IVYO KUAJIRIWA SERIKALINI NI SAWA NA UMEJIAJIRI MWENYEWE over..