Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.