Nimekuuliza swali ili utuambie hizo taratibu ambazo unadhani hajazifuata....
Na Je, unaweza kuonesha ushahidi wa serikali iwapo ilishawahi kumjibu Tundu Lissu kuwa hutalipwa madai yako kwa sababu hayana uhalali wa kisheria kwa sababu 1, 2, 3....?
Halafu jiulize maswali mengine rahisi tu kama;
√. Hivi kweli tunadhani Tundu Lissu mwanasheria mbobezi mpenda haki hajui sheria na taratibu zinamtaka afanye nini kwenye hili....?
√. Hivi kweli kwa ufahamu na akili zenu nyie kina
Shotocan mnadhani Tundu Lissu mwanasheria anayeelewa sheria na taratibu anaweza kudai na kung'ang'ania haki yake iliyo nje ya sheria? Really...?
SIKILIZA BWANA
Shotocan:
Acha ubishi usio na kichwa wala miguu ambao obviously umeujenga ktk msingi wa ujinga, chuki na ubinafsi tu....
Kila mtu anajua kuwa kinachofanyika si ishu ya kuwa HAKI zake "haziko kisheria" au "iko nje ya utaratibu"...
Bali anachofanyiwa Tundu Lissu na wengine wote wanaodai haki zao serikalini, ni chuki ileile waliyotaka kumuulia na ambayo wanatamani afe hata leo...
Wanaogopa kuwa wakimlipa, kila dai lake litapata uhalali wa kisheria ikiwepo kudai uchunguzi wa tukio lote la jaribio la kuuwawa kwake, madai kuwa Paul Makonda ndiye Kiongozi wa mauji yake nk nk...
Tumia kichwa na akili zako vizuri kufikiria. Usifugie nywele tu...