Ameshanunua gari au ndiyo tumepigwa tena ile michango yetu? Maana huko, mmh!kwani isitukanwe. kani yenyewe ni Mungu ,si tumeiweka wenyewe kwanini tusiitukane sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshanunua gari au ndiyo tumepigwa tena ile michango yetu? Maana huko, mmh!kwani isitukanwe. kani yenyewe ni Mungu ,si tumeiweka wenyewe kwanini tusiitukane sasa
Kama ndivyo basi hana adabu kabisa!Hata Raisi tu Haiti Raisi anamwita mama Abdul akasema nikamwambia Abdul mwambie mama yako anilipe stahilli zangu za matibabu
Humu ndani tupunguze roho mbaya hazina maana yoyote ile,mtu kapigwa risasi na wasiojulikana kaambiwa ukienda tu Muhimbili wanakumalizia sana mlitaka wakaombe kibali kwa nani?wakati mtu alikuwa anakimbiza roho yakeHapo ndipo mtihani ulipo kaondoka kinyume chs sheria cha kupewa kibali halafu anataka alipwe asipolipwa atakamata ndege zetu analazimisha kulipwa na vitisho kibao wakati taratibu hazikufuatwa yeye kwenda kutibiwa nje
Anatumia vitisho na mikwara kuwa taratibu zivunjwe ziachwe kando zifumbiwe macho alipwe
Aliyemwambia hilo ni nani? Anayechafua jina la Muhimbili nani huyo?mtu kapigwa risasi na wasiojulikana kaambiwa ukienda tu Muhimbili wanakumalizia sana mlitaka wakaombe kibali kwa nani?wakati mtu alikuwa anakimbiza roho yake
chama cha kijani nao si walichangaAmeshanunua gari au ndiyo tumepigwa tena ile michango yetu? Maana huko, mmh!
Nimekuuliza swali ili utuambie hizo taratibu ambazo unadhani hajazifuata....Kwa hiyo anatakahe watu wafumbe macho wasijali taratibu zinavyotaka za malipo walipe tu bila kujali taratibu za kulipa?
Naona umejaza uadhani nyingiiiiiiNimekuuliza swali ili utuambie hizo taratibu ambazo unadhani hajazifuata....
Na Je, unaweza kuonesha ushahidi wa serikali iwapo ilishawahi kumjibu Tundu Lissu kuwa hutalipwa madai yako kwa sababu hayana uhalali wa kisheria kwa sababu 1, 2, 3....?
Halafu jiulize maswali mengine rahisi tu kama;
√. Hivi kweli tunadhani Tundu Lissu mwanasheria mbobezi mpenda haki hajui sheria na taratibu zinamtaka afanye nini kwenye hili....?
√. Hivi kweli kwa ufahamu na akili zenu nyie kina Shotocan mnadhani Tundu Lissu mwanasheria anayeelewa sheria na taratibu anaweza kudai na kung'ang'ania haki yake iliyo nje ya sheria? Really...?
Anaupiga mwingi kumbe ni changa la macho.Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Kwani rafiki ndugu Shotocan hiki unachokiita "kibali cha wizara ya afya" ni nini, kinakuwaje na kinatolewaje unadhani kwa uelewa wako....?Naona umejaza uadhani nyingiiiiii
Jibu fupi tu ni je kilikuweko kibali cha wizsra ya afya yeye kwenda kutibiwa nje?
Hilo analijua mwenyewe kama kilikuwepo au la
Madai yake ni ya 2017 ,serikali ya 2015 -2020 ndiyo iliyomdhulumu...Wewe unaitambua serikali ya 2020-2025?Serikali ipi wakati alisema haitambui serikali iliyopo madarakani?? Huyo nae kichekesho Leo anasema haitambui serikali ila mishahara yote ya miaka zaidi ya 4 kalipwa na serikali asiyoitambua.
Viongozi wa siasa wengine wanataka vijana tuchukie siasa kwa ujinga wao
Madai kama yako kinyume taratibu hayana haja hata ya kujibiwa ni kuyatupa tu kwenye dustbinMwisho, waambie wahusika wanaopaswa kutoa haki ya mtu huyu wamwandikie barua kujibu madai yake kuwa hayatalipwa kwa sababu ya hiki unachosema "kibali cha wizara ya afya" cha kwenda kutibiwa nje ya nchi....
na tulizochanga zilienda wapi?Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Serikali ipo tayari kulipa goli la yanga au simba on the spot kwa cash siyo mkopo uwanjani lakini siyo raia wake aliyeumizwa na wahuniJuzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
naona kesi ya afisa wa tigo imeleta kiwewe,Serikali ipo tayari kulipa goli la yanga au simba on the spot kwa cash siyo mkopo uwanjani lakini siyo raia wake aliyeumizwa na wahuni
hana haki na wala hawezi kulipwa hata sent moja ikiwa alikiuka sheria na taratibu za mbunge kwenda kutibiwa. Na kama hakukiuka, basi awasilishe stakabadhi na vielelezo vya ruhusa kulingana na utarabu wa idara za bunge na ikiwezekana aviweke wazi kwa uma ikiwa anaonewa🐒Ni kwa sababu tu hujui lakini hujui kuwa hujui...
Taratibu zipi ambazo unadhani zinamzuia Tundu Lissu kupata haki zake...?
Au unakariri tu uliyokaririshwa na hao bwana zako bila wewe mwenyewe kutetea unachodhani unajua...?
Kwani Hospitali wanamdai?Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Kaka yake alifuatilia taratibu zote alipokuwa kwenye matibabu, ila kwakuwa suala ilikuwa ni kumkomoa kwa kumtaja Magufuli kuwa ndio muhusika wa shambulio lake, wakawa wanamzungusha.Hapo ndipo mtihani ulipo kaondoka kinyume chs sheria cha kupewa kibali halafu anataka alipwe asipolipwa atakamata ndege zetu analazimisha kulipwa na vitisho kibao wakati taratibu hazikufuatwa yeye kwenda kutibiwa nje
Anatumia vitisho na mikwara kuwa taratibu zivunjwe ziachwe kando zifumbiwe macho alipwe