Stahiki za matibabu nje ya nchi zina masharti yake vikiwemo vibali vya kuruhusiwa kwenda kutibiwa njeSerikali hii ipo tayari kuwalipa wasanii na kwenda nao kuzurura Korea ya Kusini, lakini si kumlipa Tundu Lissu stahiki zake Kwa mujibu wa sheria!😳
Serikali ipi wakati alisema haitambui serikali iliyopo madarakani?? Huyo nae kichekesho Leo anasema haitambui serikali ila mishahara yote ya miaka zaidi ya 4 kalipwa na serikali asiyoitambua.Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Sirikali ipi tena? Hii hii anayoitukana?Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Wewe bado hujapata upendo yaani kuonyeshwa upendo mimi najishika mwenyewe kwenye huo mshikamano
Badoo mkuuu,kabisaWewe bado hujapata upendo yaani kuonyeshwa upendo
Duu umenikumbusha kutesa kwa zamu, kunawengine wanapewa upendo hadi wanapepewa, (wanafaidi keki ya Taifa)Badoo mkuuu,kabisa
Baada ya kujiridhisha na kwa wakati muafaka kadiri inavyofaa malalamiko yake yatapokelewa na mamlaka husuka ikiwa atawasilisha panapohusika na ikiwa anastahili kulingana na taratibu za kiutumishi vinginevyo itakua vigumu 🐒Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
Usubiri kupewa kibali na aliyetaka kukuua?! Kama Lisu angekubali kutibiwa kwenye hospitali za hapa nyumbani baada ya shambulio lile, leo hii yeye angekuwa marehemu kama Magufuli.Stahiki za matibabu njebya nchi zina masharti yake vikiwemo vibali vya kuruhusiwa kwenda kutibiwa nje
Hata Raisi tu Haiti Raisi anamwita mama Abdul akasema nikamwambia Abdul mwambie mama yako anilipe stahilli zangu za matibabuSirikali ipi tena? Hii hii anayoitukana?
Si Tundu Lissu tu anayedai haki na stahiki zake....Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni sababu gani inayozuia Tundu Lissu asilipwe?
Sasa hivi tuna 4R ambayo ni Reconcilliation, Reform, Resilience na Rebuilding haya yote yanatuongoza kwenye upendo sasa kwa nini asilipwe?
Sheria zipo na ziko wazi kuhusu malipo yake ni vyema sasa akalipwa gharama zake zote za matibabu zilizochukua muda mrefu tangu apigwe risasi 16 na Mungu akamnusuru.
kwani isitukanwe. kani yenyewe ni Mungu ,si tumeiweka wenyewe kwanini tusiitukane sasaSirikali ipi tena? Hii hii anayoitukana?
Hapo ndipo mtihani ulipo kaondoka kinyume chs sheria cha kupewa kibali halafu anataka alipwe asipolipwa atakamata ndege zetu analazimisha kulipwa na vitisho kibao wakati taratibu hazikufuatwa yeye kwenda kutibiwa njeUsubiri kupewa kibali na aliyetaka kukuua?! Kama Lisu angekubali kutibiwa kwenye hospitali za hapa nyumbani baada ya shambulio lile, leo hii yeye angekuwa marehemu kama Magufuli.
Ni kwa sababu tu hujui lakini hujui kuwa hujui...Stahiki za matibabu njebya nchi zina masharti yake vikiwemo vibali vya kuruhusiwa kwenda kutibiwa nje
Kwa hiyo anatakahe watu wafumbe macho wasijali taratibu zinavyotaka za malipo walipe tu bila kujali taratibu za kulipa?Ni kwa sababu tu hujui lakini hujui kuwa hujui...
Taratibu zipi ambazo unadhani zinamzuia Tundu Lissu kupata haki zake...?
Au unakariri tu uliyokaririshwa na hao bwana zako bila wewe mwenyewe kutetea unachodhani unajua...?