Serikali imlipe Tundu Lissu gharama zake za matibabu

Apekeke uthibitisho kuwa alishambuliwa akiwa bungeni akiambatanisha na fomu ya pf3 toka polisi.
 
Sikujua kama huyu mama ni mnafiki kiasi hicho!

I wish I knew!
 
basi awasilishe stakabadhi na vielelezo vya ruhusa kulingana na utarabu wa idara za bunge
1. Kwanza hebu jisome hapo ujione mwenyewe ulichokiandika. Hopefully, you wrote it out of your ignorance, right.....?

2. Na hizo unazozisema kama "idara za bunge" ni zipi hizo...?

3. Na mwisho swali rahisi tu kwako ni hili, kwamba, do you think kuwa mtu kama Tundu Lissu, mtaalamu na mbobezi wa sheria, mtu wa HAKI anaweza kudai fedha isiyo haki yake kwa mujibu wa sheria?

## Jibu obviously ni NI NGUMU. Kama ni hivi kwanini sasa hapewi haki yake kwa mujibu wa sheria?

## Jibu pia ni rahisi tu. Ni CHUKI na KIBURI tu cha wenye madaraka na maamuzi. Chuki ileile waliyotaka kumuua kwa risasi zile ndiyo hii imekuwa "ukuta" kwao kumtendea haki mtu huyu....

## And you know what Gentleman? Haki huchelewa tu lakini kamwe haipotei. Ataipata tu haki yake ya kifedha ikiwemo "haki ya kisasi cha damu yake iliyomwagwa toka kwa walioimwaga" hata kama wewe @Tlaahtlaah utakuwa umeshakufa na kuzikwa Chato kwenu sawasawa na baba yako Magufuli mwasisi na mtekelezaji wa dhulma dhidi ya uhai wa Lissu...!!
 
Madai kama yako kinyume taratibu hayana haja hata ya kujibiwa ni kuyatupa tu
SIO KWELI....!

Ni ujinga wako tu wewe kuandika hiki ulichoandika na ndiyo maana toka mwanzo nimekuambia kuwa arguments zako kwenye issue hii, unazijenga ktk msingi wa UJINGA na UPUMBAVU tu...

Bila shaka wewe Shotocan hujui hata dhana ya "serikali" ni kitu gani. Ungekuwa unajua, ungekuwa unaficha ujinga wako chumbani kwako...

IKO HIVI:

Kila dai linalopelekwa serikalini kimaandishi hujibiwa kimaandishi kwa KUKUBALIWA na kutekeleza au KUKATALIWA kwa kutokutekelezwa..

Ofisi yoyote ya umma ikikataa kutekeleza dai fulani la mwananchi, sharti impe jibu kwa njia ileile aliyotumia kuwasilisha dai lake...

Na jibu hilo analopewa sharti liwe na sababu za kisheria kukataa kutekelezwa kwa dai hilo....

Sababu hizo/hiyo itamsaidia mwananchi huyu kukata rufaa kwenda mbele zaidi kuitafuta haki yake....

Kutofanya na kufuata utaratibu huu wa kisheria kuli settle swala hili, hakuna shaka kuwa Tundu Lissu ataendelea kuzozana na kuisumbua serikali hii mpaka mwisho wa dunia....!!
 
Uongo haiko hivyo kwenye tenda au ajira za serikali hata maombi tu ya vyuo vya serikali haiko hivyo

Usipofanikiwa hujibiwi chochote walla kuambiwa kwa nini hukufanikiwa maombi yako

Usipofaniiiwa maombi yako huwa hawajibu na kueleza sababu
 
hawezi kulipwa hata sent moja ikiwa hakufuata taratibu na sheria za matibabu za kibunge.

hakuna hisia wala hakuna huruma kwenye masuala ya kisheria na utaratibu. Hana vielelezo, asahau malipo ya aina yoyote kutoka mbungeniπŸ’
 
hawezi kulipwa hata sent moja ikiwa hakufuata taratibu na sheria za matibabu za kibunge.

hakuna hisia wala hakuna huruma kwenye masuala ya kisheria na utaratibu. Hana vielelezo, asahau malipo ya aina yoyote kutoka mbungeniπŸ’
Naona kama vile huna hoja tena, hujui sheria yoyote na ni wazi kuwa unabweka tu kama mbwa koko....

Lakini kwa sasa na wewe @Tlaahtlaah itoshe tu kusema hiliπŸ‘‡πŸ»kwako, kwamba, huyu mwamba atalipwa tena na interest hata kama wewe utakuwa umekufa...!

Lakini hebu msome UV-CCM mwenzako hapaπŸ‘‡πŸ». Yaani ni hakuna akili kabisa kichwani lakini mmerundikwa hapo CCM - Lumumba kumwaga upupu unaowarudia na kuwawasha wenyewe...
Uongo haiko hivyo kwenye tenda au ajira za serikali hata maombi tu ya vyuo vya serikali haiko hivyo

Usipofanikiwa hujibiwi chochote walla kuambiwa kwa nini hukufanikiwa maombi yako

Usipofaniiiwa maombi yako huwa hawajibu na kueleza sababu

Kwa hiyo wewe ndugu Shotocan, Tundu Lissu ame applly course ya special education hapo UDOM, na kwa hiyo ameikosa, hajachaguliwa na hivyo hastahili kujibiwa siyo...?

Unatolea mfano wa ishu ambayo ni very irrelevant na kilichopo mezani kwa mjadala...!!!

Ama kweli hizi ndo akili na think tanks za Chura Kiziwi aitwaye Samia Suluhu Hassan...

Mama yenu "Chura Kiziwi" wa akili na ufahamu, vivyo hivyo nanyi mtakuwa vyura viziwi mpaka mwende kwenye makaburi yenu...!!
 
ukituliza mihemko, ghadhabu na kutegemea ushirikina, miujiza, hisia au huruma, hauwezi elewa na utaishia kupiga ramli tu...

hayupo mtumishi wa umma kwenye idara yoyote ya umma atakae idhinisha malipo ya aina yeyote kwasabb yoyote ile bila kuzingati sheria, taratibu na kanuni za malipo hayo.
Kwa kufanya hivyo atakua amekiuka sheria, amekiuka taratibu na kanuni za kazi na kwahivyo atakua amevunja sheria na atawajibishwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria kwa kuhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi πŸ’
 
Maza alisema Lissu hatulii.
Huenda anangoja atulie kwanza.
 
Nimemkumbuka nduugaii alivyotumbua mapesa ya matibabu
 
Nimemkumbuka nduugaii alivyotumbua mapesa ya matibabu
Yeye alifuata taratibu za kwenda kutibiwa nje na kupata kibali cha wizara ya afya kuwa hapa Tanzania kuwa hakuna huo ubingwa?

Kwa Lisu je alipata hicho kibali ? Kuepuka Controller and Audit General (CAG ) kuhoji hayo malipo just in case Lisu akilipwa kuwa serikali ilizingatia sheria za fedha na taratibu za kumlipa?
 
Lisu anataka Raisi Samia avunje sheria na taratibu za mbunge kutibiwa nje ili amlipe hizo Pesa Lisu bila kuwepo kibali cha kuruhusu yeye atibiwe nje

Watendaji wako makini hawawezi idhinisha hayo malipo na kulipa wakati wanaona wazi yamevunja sheria na taratibu za mtu kutibiwa nje

Yakilipwa watumishi walipaji na waidhinishaji watatolewa kafara kuwa wao ndio wali mu mis lead Raisi Ripoti ya CAG ikija na hoja kuwa wote walioidhinisha na waliolipa wachukuliwe hatua.Raisi au waziri wa fedha na afya na Raisi hawataguswa

Mbuzi wa kafara watakuwa watendaji

Lisu arakuwa anakula bata ubelgiji kwa hizo pesa ,Raisi atakuwa anakula bata ikulu,mawaziri afya na fedha watakuwa wanakula bata wizarani kwao

Watendaji ndio watakuwa mbuzi wa kafara kwa kulipa kinyume cha sheria na taratibu za matibabu ya nje
 
Lisu anataka Raisi Samia avunje sheria na taratibu za mbunge kutibiwa nje ili amlipe hizo Pesa Lisu bila kuwepo kibali cha kuruhusu yeye atibiwe nje

Watendaji wako makini hawawezi idhinisha hayo malipo na kulipa wakati wanaona wazi yamevunja sheria na taratibu za mtu kutibiwa nje

Yakilipwa watumishi walipaji na waidhinishaji watatolewa kafara kuwa wao ndio wali mu mis lead Rais na mawaziri wa afya na fedha i Ripoti ya CAG ikija na hoja kuwa wote walioidhinisha na waliolipa wachukuliwe hatua.Raisi au waziri wa fedha na afya na Raisi hawataguswa

Mbuzi wa kafara watakuwa watendaji

Lisu atakuwa anakula bata ubelgiji kwa hizo pesa ,Raisi atakuwa anakula bata ikulu,mawaziri afya na fedha watakuwa wanakula bata wizarani kwao

Watendaji ndio watakuwa mbuzi wa kafara kwa kulipa kinyume cha sheria na taratibu za matibabu ya nje
 
Kwani CAG ayasemeaje? Unakumbuka?
 
Kwa hiyo anatakahe watu wafumbe macho wasijali taratibu zinavyotaka za malipo walipe tu bila kujali taratibu za kulipa?

..alifuata taratibu.

..Katibu Mkuu wizara ya afya ndiye aliyeidhinisha Lissu atolewe hospitali ya serikali Dodoma na kupelekwa Nairobi.

..na kwenda Nairobi Lissu alisindikizwa na madaktari wa serikali ya Tanzania.
 
Aende mahakamani ili spare haki yake,pia kuna wanasheria wehu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…