DOKEZO Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nakusoma mkuu

Kuna jamaa nilisikia redioni huko Arusha, alitembea na mke wa mtu...

Kapewa adhabu ndogo tu, kaingiziwa njiti ya chelewa kwenye mrija wa urethra (tundu la mkojo kwenye uume) na wakaivunjia njiti huko ndani halafu akaachwa aende zake...

Sasa msengerema kama huyu, lazima akutane na adhabu kama hizi hadi yeye mwenyewe ajipeleke polisi kwamba kalawiti...
 
Mpaka mwili umenisisimka aisee

Kutenda dhambi kama hujawahi kukamatwa unajiona mjanja sana, arobaini zikitimia..! Mmmh!
 
...Wewe binafsu Umechukua Hatua Gani Kumsaidia Mama ?? [emoji848][emoji848]...
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani [emoji1488]
...Ubarikiwe Sana, Mheshimiwa [emoji120]...!
 
Kuna jamaa nilisikia redioni huko Arusha, alitembea na mke wa mtu...

Kapewa adhabu ndogo tu, kaingiziwa njiti ya chelewa kwenye mrija wa urethra (tundu la mkojo kwenye uume) na wakaivunjia njiti huko ndani halafu akaachwa aende zake...

Sasa msengerema kama huyu, lazima akutane na adhabu kama hizi hadi yeye mwenyewe ajipeleke polisi kwamba kalawiti...
Wanastahili mateso yaani unampa kilema cha maisha
 
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.

Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).

Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).

Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.

Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.

Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.

Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.

Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.

Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.

Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.

Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
aise hili siyo la kumuachia huyo mama peke yake jamii nzima inatakiwa ipigane huyu mtoto apate haki yake hawa watu washenzi wanaharibu jamii yetu siyo wa kuwachekea hata kifogo
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani 🙏🏾
Hongera sana mama unajitofautisha na maccm yaliyo mengi huna Kariba ya kina bashite chapa kazi taji Yako Iko mbinguni.
 
Mtoto wa darasa la sita muda wa kwenda kanisani kila siku kuimba kwaya anaupata wapi na kwa nini anaruhusiwa kushinda mazingira ya nje ya nyumbani bila uangalizi wa mzazi, ifike mahali wazazi tuwe walinzi wa hawa watoto sio kuwaachia tu dunia imeharibika

Chanzo cha ukatili ni sisi wazazi kutokua responsible kwa watoto wetu

Nampa pole huyo mama.
Huyu mama ni mjane kumbuka ana matatizo mengi usikute hata chakula hana the only place anaweza kumstiri mtoto wake ni kumsogeza kanisani atleast anaweza kupata msaada wowote kama chakula na kusoma,
 
Ila sisi watanzania aisee ni watu wa ajabu mno. Huyo mama anasingizia fedha, hili jambo linahitaji fedha kupaza sauti? Siku hizi njia za mawasiliano zipo nyingi na wala hawatozi fedha kwa mambo kama haya.
Ndugu usilaumu siyo watu wote wana upeo kama wako wengine wakitishwa na polisi hata kama haki ni yake wanakimbia, hujui kakutana na kikwazo gani kiufupi anahitaji kusaidiwa kwa hili
 
Shukrani waziri kwa kuitikia wito.
Naomba kutoa Rai kwa viongozi waliopo humu hata kama huitaji kujulikana tafuta namna ya kutatua matatizo ya watu yanayoripotiwa humu.

Pia, kwa wachangiaji, tuwe na uwezo wa kudhibiti lugha kali au kashfa na matusi ktk nyuzi kama hizi. Ili kufanya ushiriki wa viongozi kama Dr Gwajima kuzidi kuongezeka.
 
Wiki iliyoisha apa maeneo ya nyumbani
Kuna jamaa tumemzika,

uyu jamaa alikua Na tabia ya kulawiti watoto wa kiume

Yaani akishalawiti wahusika wenye mtoto wao wanampeleka polisi ila baada ya siku kadhaa anaonekana Tena mtaani akidunda
Sasa apa juzi Kati kalawiti dogo flani ivi ila mara hii hawajataka mambo mengi
Walimvizia wakamkamata

wakamchomeka ujiti kwenye sehemu yake ya haja kubwa Na kuubana kwa praizi uume wake Na kumchoma bisibisi tumboni paka akafa

Na shughuli yake ikawa imeishia apo
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani [emoji1488]

Asante mama,tuendelee na mapambano walau tupunguze haya mambo ya kishetani kwenye jamii yetu
 
Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.

Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).

Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).

Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.

Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.

Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.

Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.

Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.

Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.

Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.

Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D
 
Ndugu usilaumu siyo watu wote wana upeo kama wako wengine wakitishwa na polisi hata kama haki ni yake wanakimbia, hujui kakutana na kikwazo gani kiufupi anahitaji kusaidiwa kwa hili
Ngugu yangu, nakuelewa sana lakini kwa karne ya sasa? Hakuna hata ndugu, jamaa na marafiki wa kumsaidia? Hapana, hii haikubaliki. Tena ni Dar. Ingekuwa vijijini angalau. Anyways, bora kufa unapigana kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti.
 
Back
Top Bottom