Nape Yeye kazi yake kubishana twita na kutukananaHongera sana mama, upo active sana kushughulikia matatizo ya jamii.
Wenzako akina Nape Nnauye wanatumia JF kwa kujificha kama bange.
Si vibaya wakaiga mema yako.
Heshima yako tafadhariUjumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani [emoji1488]
Safi sanaWiki iliyoisha apa maeneo ya nyumbani
Kuna jamaa tumemzika,
uyu jamaa alikua Na tabia ya kulawiti watoto wa kiume
Yaani akishalawiti wahusika wenye mtoto wao wanampeleka polisi ila baada ya siku kadhaa anaonekana Tena mtaani akidunda
Sasa apa juzi Kati kalawiti dogo flani ivi ila mara hii hawajataka mambo mengi
Walimvizia wakamkamata
wakamchomeka ujiti kwenye sehemu yake ya haja kubwa Na kuubana kwa praizi uume wake Na kumchoma bisibisi tumboni paka akafa
Na shughuli yake ikawa imeishia apo
Barkiwa sana Dr Gwajima kwa kusaidia jamii bila kuchelewa.Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani ππΎ
Na uhakikishe haki inapatikana !!!Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani ππΎ
Gwaji Girl katika ubora wake. Hakika unaitendea haki kazi yako na hasa wizara yako kwa speed ya kuitika unapoitwa humu JF ni kielelezo tosha kuwa Gwaji Girl una chapa kazi. Keep it up!!Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani ππΎ
Daah kama ni kweli basi kanisa limejidharirisha kama vipi mama atafute chombo Cha habar akatoe malalamiko yake huko.Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.
Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).
Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).
Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.
Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.
Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.
Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.
Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.
Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.
Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.
Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
Kachanganyikiwa mkuu, jambo lililomkuta ni zito mno, kumbuka pia ana machungu ya kufiwa na mumewe, hapo bado maisha yanampiga ipasavyo na huko alikotegemea apate faraja ndio hayo aliyokutana nayo kijana wake na mbaya zaidi viongozi wa kanisa aliowaamini badala ya kumpa msaada ndio kwanza wako against na yeye kwa hayo yote lazima uwezo wake wa kufikiri uyumbe pa kubwa.Ila sisi watanzania aisee ni watu wa ajabu mno. Huyo mama anasingizia fedha, hili jambo linahitaji fedha kupaza sauti? Siku hizi njia za mawasiliano zipo nyingi na wala hawatozi fedha kwa mambo kama haya.
Kuna jamaa nilisikia redioni huko Arusha, alitembea na mke wa mtu...
Kapewa adhabu ndogo tu, kaingiziwa njiti ya chelewa kwenye mrija wa urethra (tundu la mkojo kwenye uume) na wakaivunjia njiti huko ndani halafu akaachwa aende zake...
Sasa msengerema kama huyu, lazima akutane na adhabu kama hizi hadi yeye mwenyewe ajipeleke polisi kwamba kalawiti...
Kwahiyo hapo mnajiona wajanja kwamba mmetatua tatizo sio? Huyo mwanamke siku nyingine utamkuta analiwa na mtu mwingine kwahiyo utavunjia chelewa wangapi?
Wanatumia pesa kukandamiza/kuzuia uovu huo usijulikane au kusichukuliwe hatua za kisheria stahiki - kama jambo hilo ni la kweli lakini.Ila sisi watanzania aisee ni watu wa ajabu mno. Huyo mama anasingizia fedha, hili jambo linahitaji fedha kupaza sauti? Siku hizi njia za mawasiliano zipo nyingi na wala hawatozi fedha kwa mambo kama haya.
Mkuu, Baada ya tukio hilo; mbona wahusika wanaishi kwa machale muda wote?Wiki iliyoisha apa maeneo ya nyumbani
Kuna jamaa tumemzika,
uyu jamaa alikua Na tabia ya kulawiti watoto wa kiume
Yaani akishalawiti wahusika wenye mtoto wao wanampeleka polisi ila baada ya siku kadhaa anaonekana Tena mtaani akidunda
Sasa apa juzi Kati kalawiti dogo flani ivi ila mara hii hawajataka mambo mengi
Walimvizia wakamkamata
wakamchomeka ujiti kwenye sehemu yake ya haja kubwa Na kuubana kwa praizi uume wake Na kumchoma bisibisi tumboni paka akafa
Na shughuli yake ikawa imeishia apo
Kumbe viongozi makini wao mamaUjumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani ππΎ
Duh! Mzee wa makasiriko. Adhabu ulopendekeza itatekelezeka kivipi? Yani kosa linalipwa kwa kutenda kosa hilo hilo tena mara saba? Je mtoa/mtekelezaji wa adhabu (Yule atakayelawiti mara saba) akifariki baada ya miezi mitatu hiyo adhabu mwisho wake itakuwaje? π π πKwa heshima niseme tu mtuhumiwa akikamatwa na kuthibitika kutenda ulawiti naye alawitiwe mara 7 kwa siku kwa miaka 50 inayo.
Hatuwezi kuona watoto wetu wanaoharibiwa future na walawiti.
Shikamoo mheshimiwa, pole kwa kazi na hongera sana unafanya kazi nzuri.Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani ππΎ