Mkuu Rudi upya ukakusanye data hapo kuna ukakasi kidogo there's doubt in your story, you have to disclose everything kuanzia Shule anayosoma na kila kitu ili iwe wazi sasa unaposema sijui au Sina uhakika hapo unaonekana hauna uhakika na taarifa yako, aidha umesimuliwa na mtu haumjui huyo mtoto ndio ukaamua kuibeba story na kuileta huku kaongee nao vizuri wahusika alafu uje ufanye updates kwenye huu uzikatika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule)
Kwani makosa mengine mfungwa akifariki adhabu huendelea au hufa?Duh! Mzee wa makasiriko. Adhabu ulopendekeza itatekelezeka kivipi? Yani kosa linalipwa kwa kutenda kosa hilo hilo tena mara saba? Je mtoa/mtekelezaji wa adhabu (Yule atakayelawiti mara saba) akifariki baada ya miezi mitatu hiyo adhabu mwisho wake itakuwaje? 😠 😠 😠
Umenifurahisha sana Kwa kuwa activeUjumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani 🙏🏾
Kwa ubabe wako huo una msaada gani kwa mwathirika maana mleta mada kasema ni mtoto yatima mama yake hana uwezo wa kupambana na hao maparoko wa sinza.Huyo mlinzi ashukuru Mungu katenda ukatili kwa mtu mnyonge....
Yaani umlawiti mtoto wangu na nikujue halafu uendelee kutembea, kuona, kusikia, kula, kuwa na uume...nooo!
Mleta mada waziri keshajibu na kaomba umpe namba za simu anasubiri msaada wako. Tafadhari mkuu kamilisha kazi njema uliyoianza. Ubarikiwe na Bwana.Nikiwa kama raia mwema na mtumishi wa Kanisa Katoliki lililopo Sinza nimeona sio vema nami nikae kimya wakati kila wiki naenda Kanisani kumuomba Mungu kisha niache familia iteseke wakati nina nafasi ya kupaza sauti na haki ikatendeka.
Kuna mtoto ambaye nafikiri anasoma darasa la 5 au la 6 katika moja ya Shule zilizopo Sinza kama sijakosea inaweza kuwa ni pale Mapambano (sija uhakika na jina la shule).
Nilianza kumjua mtoto huyo kwa kuwa amekuwa akifika mara nyingi kwenye kwaya ya Kanisa hilo (Dar es Salaam).
Huyu mtoto ni wa kiume, alianza kuwa muumini mzuri wa Kanisa bada ya kuletwa na mzazi wake, mama mtu alifanya hivyo baada ya kufiwa na mumewe ambaye alikuwa ni Mwandishi wa Habari.
Mara baada ya msiba huo, kwa kuwa kiuchumi mama mtu hakuwa vizuri, akaamua kusogeza familia yake karibu na Kanisa ili angalau apate msaada.
Hivi karibuni ilibainika mtoto huyo amelawitiwa na mmoja wa Walinzi wa Kanisa hilo la Roma lililopo Sinza, baada ya mama mtu kubaini hilo (haikujulikana kama ni mara ngapi mtoto kafanyiwa hivyo na kama ni mlinzi peke yake au kuna mwingine), suala likafikishwa hadi Kituo cha Polisi Mabatini.
Mtuhumiwa akakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda, lakini baada ya viongozi wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Kwaya kufika kituoni hapo, haijulikani nini kilichoendelea lakini mtuhumiwa akaachiwa kwa dhamana huku kukiwa hakuna taarifa yoyote ya maana inayoendelea.
Licha ya kwanza vipimo vya Kitabibu kutoka kwa Daktari kuonesha wazi kuwa ni kweli Mtoto alifanyiwa ukatili huo wa kulawitiwa, hakuna kinachoendelea na dalili zilizopo ni kuwa viongozi wa Kanisa, Askari wa Kituo cha Polisi Mabatini wanataka kulizima suala hilo kinyemela.
Mtoto yupo tu nyumbani na mama yake, ameathirika kisaikolojia, mama mtu naye hajui cha kufanya kwa kuwa hana uwezo wa kupambana na watu wanaomzunguka mtuhumiwa.
Ushahidi wa tukio hili wanaujua watu wa karibu na kanisa hilo hasa Watumishi kuanzia wafanyausafi na hata baadhi ya mjirani pia wanajua.
Naomba ujumbe huu uzifikie Mamlaka husika kwa kuwa tukio tunalijua mwanzo mwisho lakini tuna hofu ya kujitokeza na kukemea kwa kuwa kama Kituo cha Polisi Mabatini, Daktari wa Hospitali ya Palestina (Sinza), Kanisa wote hawataki lijulikane kuna nini nyuma ya pazia na kwa nini?
Ukigombea uraisi unapita mchana kweupeUjumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani 🙏🏾
Kwani shule wanashinda huko??? Kwahiyo unataka asiende kanisani wew inaelekea hujui kanisa wala msikitiMtoto wa darasa la sita muda wa kwenda kanisani kila siku kuimba kwaya anaupata wapi na kwa nini anaruhusiwa kushinda mazingira ya nje ya nyumbani bila uangalizi wa mzazi, ifike mahali wazazi tuwe walinzi wa hawa watoto sio kuwaachia tu dunia imeharibika
Chanzo cha ukatili ni sisi wazazi kutokua responsible kwa watoto wetu
Nampa pole huyo mama.
Najua kanisa, na huwa naenda kanisani siku za jumapili na watoto. Ibada ikiisha tunarufi nyumbani, jumamosi mmoja anaenda mafundisho kanisani nampelaka nasubiri masaa mawili akitoka ananikuta mlangoni namsubiri tunarudi nyumbaniKwani shule wanashinda huko??? Kwahiyo unataka asiende kanisani wew inaelekea hujui kanisa wala msikiti
Kwani akitoka shuleni saa tisa hawezi kwenda kanisani??
Kwani kwenda kanisani nikosa kwa mzazi???
Mimi nafikiri ungemsifu kuwa amechagua fungus jema maana elimu bila Mungu haina maana
Mkuu usimlaumu sana tonatoufationa uelewa. Na watanzania wengi hawana elimu ya uraia kiasi hata haki zao za msingi hawazijui na hata wakizijua hawajui wazapate wapi na kwa kupitia njia gani. Kwa sasa hivi asaidiwe tu hayo mambo mengine yaje baadae.Ila sisi watanzania aisee ni watu wa ajabu mno. Huyo mama anasingizia fedha, hili jambo linahitaji fedha kupaza sauti? Siku hizi njia za mawasiliano zipo nyingi na wala hawatozi fedha kwa mambo kama haya.
Ni kweli. Dunia ina watu wa kila aina hivyo nisihukumu sana. Nimekumbuka kile kisa cha wanawake kupewa dawa ya kupunguza unene, na dawa yenye inabidi ipakwe kwenye uume, ndiyo iingizwe kwa njia ya uke wake. Na walikuwa wanaenda wengi! Nimefanya utafiti nimegundua kumbe hii njia waganga wa kienyeji wanaitumia sana ''kutibu'' dada zetu.Mkuu usimlaumu sana tonatoufationa uelewa. Na watanzania wengi hawana elimu ya uraia kiasi hata haki zao za msingi hawazijui na hata wakizijua hawajui wazapate wapi na kwa kupitia njia gani. Kwa sasa hivi asaidiwe tu hayo mambo mengine yaje baadae.
Hata swala la ushoga ni kama vile Rais kaamua kulibariki ksbu hakuna katazo wala Sheria Kali iliyotungwa kudhibiti hii tabia, huyu mama Yuko poa lakini viongozi wenzake hawana time kabisa, wanakomaa na ufisadi tuu, haya mambo yanakera sana!Hongera sana mama, upo active sana kushughulikia matatizo ya jamii.
Wenzako akina Nape Nnauye wanatumia JF kwa kujificha kama bange.
Si vibaya wakaiga mema yako.
CCM haiwezi kusimamisha mtu mzalendo na mtetezi wa wanyonge kugombea Uraisi.inataka watu weziwezi, wanafiki na wenye tabia za kichawichawi.Ukigombea uraisi unapita mchana kweupe
sio tatizo je saikolojia yako itafuta tukio ukikumbuka ndio mtoto wako kashafanyiwaHuyo mlinzi ashukuru Mungu katenda ukatili kwa mtu mnyonge....
Yaani umlawiti mtoto wangu na nikujue halafu uendelee kutembea, kuona, kusikia, kula, kuwa na uume...nooo!
Heshima yako Muheshimiwa,kama hutojali naomba baada ya hili tukio kukufikia mezani kwako urudi kwenye huu uzi utueleze limefika wapi.Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani 🙏🏾
Mungu akubariki sana Dkt Gwajima.Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.
Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.
Shukrani [emoji1488]
Mi ningemchiinja mwenyewe walahHuyo mlinzi ashukuru Mungu katenda ukatili kwa mtu mnyonge....
Yaani umlawiti mtoto wangu na nikujue halafu uendelee kutembea, kuona, kusikia, kula, kuwa na uume...nooo!