DOKEZO Serikali imsaidie Mtoto huyu anayedaiwa kulawitiwa na Mlinzi wa Kanisa Katoliki Sinza

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huenda Mlinzi alishiriki baada ya kuona viongozi wamefanya pia
 
Mleta uzi usisahau kuleta updates na mrejesho ili whistle blowers wengine wapate nguvu ya kuleta mauvu wanayotendewa wale wasio na nguvu ya kujisimamia wenyewe.
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani 🙏🏾
Dr. Upo vizuri. Japo tunamisi zile swaga zako na Mr....dah mlitisha sana enzi za covid🤣🤣🤣
 
Yani ningelikuwa rais wajinga kama hawa nawanyonga hadharani...

Yani napata hasira sana kusikia kuna lipumbavu linatamba mtaani huku mtoto wa watu akiteseka..

Ndio maana nawasifu nchi za uarabuni kwa kuweka sheria za kunyonga mijitu kama hii..

Mtu wa namna hii hana Haki ya kuishi hata kwa kwa dakika moja na hafai kutetewa na shirika la haki za binadamu...

Huyu ni kuchomeka tindo za kwenye anus na kufunga kitanzi kunyongorota hiyo shingo mara saba ....[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani 🙏🏾
Shukrani sana Mh. Waziri una kitu utafika mbali.
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani 🙏🏾
Asante sana
 
Shukrani [emoji1488]
Haki itendeke ipasavyo mama yangu
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani [emoji1488]
Mh Waziri shukran sana kwa kuitikia wito, naamini utakuja na mrejesho juu ya suala hili, hali itendeke
 
Ujumbe umetufikia. Ahsante Sana kwa moyo wako wa kutoa taarifa.

Haya, huyo mzazi mpe namba yangu ya 0765345777 anitumie ujumbe hata Sasa hivi aseme tu "mimi ni mama wa sinza ambapo mtoto wangu amekatiliwa". Nitamtambua.

Shukrani 🙏🏾
We mama safi sana kuanzia leo nakukubali ila tungeni sheria kali sana sana juu ya wanaokatiri watoto hali ni mbaya sana.
 
Nobody is safe.
Wakuu tuendelee kupaza sauti, haya matukio ni mengi sana mtaani na kibaya zaidi huwa yanazimwa kimya kimya, bila hata wahusika kufikishwa katika vyombo vya haki na sheria.
 
?? kuna namna yeyote tukawa tunapata feedback ya kitakwimu ya kesi za namna hii na maamuzi ya kimahakama yaliyotolewa kwa watuhumiwa? If any,
OK. Jino kwa jino na jicho kwa jicho. Kwisha.
 
Wafiraji wamechachamaa sana wakiona tu makalio yamenona wanachanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…