DOKEZO Serikali imuangalie IGP Mstaafu Omari Mahita, anatoa silaha yake ovyo hadharani anaweza kumjeruhi mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
aloo!
 
Kituo chochote Cha Polisi mkienda naye ... Anakula saluti kwanza .. .

Hata mahakamani jaji mwenyewe anaogopa kutoa hukumu.

Mkuu wa polisi IGP anaogopwa kuliko hata waziri wa mambo ya ndani.

Mkuu wa majeshi CDF anaogopwa kuliko hata waziri wa ulinzi.
 
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.

Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo sahihi.

Mzee alipaki gari yake binafsi, akaingia sehemu, alivyotoka akakuta gari imepigwa lock, akauliza ni nani kaifunga? Kwa mamlaka gani? Inamaana hajui gari yangu? Akachomoa bastola akaitandika ile lock ikafunguka bila kuathiri tairi, akaitupa huko, akaondoka!

Mwamba aliyeifunga aliogopa hata kusogea eneo la tukio.

Nikweli mzee ulikuwa nafasi ya juu sana, ila hilo lisifanye uishi kibabe mzee, mbona ma CDF wastaafu tunaishi nao fresh tu na wana unyenyekevu mkubwa?

Badilika.
Mambo aliyofanya Ditopile Mzuzuri wakati wake akaua mtoto wa watu bure
 
Huyu si ni mstaafu? Mbona humpi heshima yake vizuri kwamba Afisa Upelelezi mstaafu Omary.........?
BTW hili dokezo liliwahi kutolewa hapa na ushauri ukawa kwamba Hatua za Tahadhari zichukuliwe na Mamlaka husika. Wahusika walipuuzia. Sasa imekuwa Hayawi-hayawi yamekuwa. Hii inji bhana cjui! We acha tu.
IGP mstaafu Omary Mahita kwa sasa amerithiwa na CP Ops & Training Awadh Haji (typical cruelty bullying and brutality traits towards other innocent human beings in contravention to the PGO and related laws).
 
Back
Top Bottom